Mfananishe member wa JF na mnyama unaempenda au usiyempenda na utoe sababu

Kwa mimi ambaye huwa nachunga ng'ombe, kondoo, mbuzi na punda.

Ukiwa umewaswaga halafu umechanganya na mifugo ya jirani ikifika kipindi cha kuwatenganisha kila mmoja achukue mifugo yake inapofika njia ya kuelekea nyumbani, kondoo kwa sababu anainamisha kichwa chini anajikuta kaachwa kaenda na mifugo ya jirani na inatokea muda huo wewe umesahau kama kuna kondoo kanogewa na msafara[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakapofika nyumbani ukianza kukagua unakuta kondoo hayupo ukija kushtuka unakuta umemuacha kwenye mifugo ya jirani wakati wa kuachana.

Kondoo ana akili zake ambazo ni za kipekee kabisa..
 
Eti Dada yangu Hajar nikazie au nilegeze?
 
Hahahaaaa. Duuh.

Ila nimecheka jamaani Mwifwa lol. Hivyo Kondoo yeye huwa anakwenda kwenda tu. Teh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama mbuzi
 
Hahahaaaa. Duuh.

Ila nimecheka jamaani Mwifwa lol. Hivyo Kondoo yeye huwa anakwenda kwenda tu. Teh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukikuta mzee anamind akikuta mifugo imepelea mbona kondoo utamchuki...
 
Mbuzi hawezi kuachwa hata kidogo labda beberu akiwa anasaka naniliuu ndio anaweza kujitoa akili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
chief ninafuga mbuzi shamba aseee....hao wadudu sina hata ham nao, na sio kama hawajazoea banda No...ni ujeuri tu, kwenda kujichanganya na mbuzi wa watu...
 
Mimi najifananisha na sokwe maana inasemekana ndii asili yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…