Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwa mimi ambaye huwa nachunga ng'ombe, kondoo, mbuzi na punda.Nilivyoona huu uzi nikajikuta nakimbilia kufungua nione yaliyomo ghafla nilichokiona ndani nikacheka sana sababu mie huwa Kondoo namuona tu na wala sijuagi tabia zake zaidi ya kila ninapomuona kajawa na kamas* huku kichwa kinaangalia chini.
Haya mleta uzi wacha na mie niamini hivyo Ahsante.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ukiwa umewaswaga halafu umechanganya na mifugo ya jirani ikifika kipindi cha kuwatenganisha kila mmoja achukue mifugo yake inapofika njia ya kuelekea nyumbani, kondoo kwa sababu anainamisha kichwa chini anajikuta kaachwa kaenda na mifugo ya jirani na inatokea muda huo wewe umesahau kama kuna kondoo kanogewa na msafara[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakapofika nyumbani ukianza kukagua unakuta kondoo hayupo ukija kushtuka unakuta umemuacha kwenye mifugo ya jirani wakati wa kuachana.
Kondoo ana akili zake ambazo ni za kipekee kabisa..