Mfananishe member wa JF na mnyama unaempenda au usiyempenda na utoe sababu

Kwa Hajar hizo sifa ulizompa nakubaliana nawe lakini huyo mnyama uliemfananisha naye anasifa moja tu ya Hajar-upole au ukimya, zaidi ya hiyo Hajar anakauli njema kama tausi, tabasamu na bashasha kama kitoto cha mbuzi kilichoshiba nyonyo la mama yake, anabusara kama twiga mwenye urembo, lakini pia muongeaji mzuri kama kasuku na sio chiriku
 
Hajar unayasikia haya?

Say something Hajar tukusikie
 
Nilivyoona huu uzi nikajikuta nakimbilia kufungua nione yaliyomo ghafla nilichokiona ndani nikacheka sana sababu mie huwa Kondoo namuona tu na wala sijuagi tabia zake zaidi ya kila ninapomuona kajawa na kamas* huku kichwa kinaangalia chini.

Haya mleta uzi wacha na mie niamini hivyo Ahsante.

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kwa Hajar hizo sifa ulizompa nakubaliana nawe lakini huyo mnyama uliemfananisha naye anasifa moja tu ya Hajar-upole au ukimya, zaidi ya hiyo Hajar anakauli njema kama tausi, tabasamu na bashasha kama kitoto cha mbuzi kilichoshiba nyonyo la mama yake, anabusara kama twiga mwenye urembo, lakini pia muongeaji mzuri kama kasuku na sio chiriku
Hahahaaaa. Yaani nimecheka sana Sesten jamaani lol. Hivyo zote hizo anazo Hajar lol.

Haya wacha niseme. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nilivyoona huu uzi nikajikuta nakimbilia kufungua nione yaliyomo ghafla nilichokiona ndani nikacheka sana sababu mie huwa Kondoo namuona tu na wala sijuagi tabia zake zaidi ya kila ninapomuona kajawa na kamas* huku kichwa kinaangalia chini.

Haya mleta uzi wacha na mie niamini hivyo Ahsante.

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahaha Hajar wewe unamuangalia kondoo kwa umbo la nje, lakini sifa yake ya ndani ni ukimya, hana makeke kama mwanambuzi. Lakini pia niungane na mleta uzi kua unastahili sifa hiyo na nyingine nzuri walokua nazo wanyama wazuri, kuanzia ndege tausi hadi mnyama twiga....hongera
 
Barbarosa anafanana na nguruwe.
Kwa sababu yeye anapenda kushabikia na kusifia vitu haramu.
 
Nilivyoona huu uzi nikajikuta nakimbilia kufungua nione yaliyomo ghafla nilichokiona ndani nikacheka sana sababu mie huwa Kondoo namuona tu na wala sijuagi tabia zake zaidi ya kila ninapomuona kajawa na kamas* huku kichwa kinaangalia chini.

Haya mleta uzi wacha na mie niamini hivyo Ahsante.

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
ila inategemea na kondoo wa wapi....kondo wengine ni wabishi na jeuri kama mbuzi.

Mleta mada ufafanue na nature ya mnyama....kuna simba wa porini na simba wa circus/maonyesho hawa tabia hazifanani,

Kuna mamba wa ulaya/america na mamba wa africa ambao hawana mazoea na binadamu hata umlee tangia akiwa yai.

[emoji1][emoji1][emoji12][emoji12][emoji125][emoji125][emoji125].

mumu wangu namfananisha na Dolphin[emoji4].
 
Back
Top Bottom