Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
anhaa kumbe ndio kwa style hiyoMkuu, wewe huna wa kumfananisha?
Usiangalie avatar... Angalia hata comments na nyuzi zake sana sana zipoje hapo unaeza fananisha...
Alafu ulikua umepotea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anhaa kumbe ndio kwa style hiyoMkuu, wewe huna wa kumfananisha?
Usiangalie avatar... Angalia hata comments na nyuzi zake sana sana zipoje hapo unaeza fananisha...
Alafu ulikua umepotea sana
Halafu huwa wakija, wanakua naked...Mwanadada aje tu namkaribisha
Ndiyo mkuuanhaa kumbe ndio kwa style hiyo
Haha mkuu Jose wewe utakuwa unafanana na LeopardUTAFANANISHAJE ID/AVATAR FEKI NA WANYAMA AISEE??
Hahahahaa jingalaoKuna mtu wa Lumumba nitamfananisha hapa na fisi maji muda mfupi ujao!!
Hajar unayasikia haya?Kwa Hajar hizo sifa ulizompa nakubaliana nawe lakini huyo mnyama uliemfananisha naye anasifa moja tu ya Hajar-upole au ukimya, zaidi ya hiyo Hajar anakauli njema kama tausi, tabasamu na bashasha kama kitoto cha mbuzi kilichoshiba nyonyo la mama yake, anabusara kama twiga mwenye urembo, lakini pia muongeaji mzuri kama kasuku na sio chiriku
hahahaHaha mkuu Jose wewe utakuwa unafanana na Leopard
Haaa! Kwa hiyo unatafunwa kila siku Mama Sabrina?Mme wangu ni Simba
Mimi ni twiga
Hahahaaaa. Yaani nimecheka sana Sesten jamaani lol. Hivyo zote hizo anazo Hajar lol.Kwa Hajar hizo sifa ulizompa nakubaliana nawe lakini huyo mnyama uliemfananisha naye anasifa moja tu ya Hajar-upole au ukimya, zaidi ya hiyo Hajar anakauli njema kama tausi, tabasamu na bashasha kama kitoto cha mbuzi kilichoshiba nyonyo la mama yake, anabusara kama twiga mwenye urembo, lakini pia muongeaji mzuri kama kasuku na sio chiriku
Hahaha Hajar wewe unamuangalia kondoo kwa umbo la nje, lakini sifa yake ya ndani ni ukimya, hana makeke kama mwanambuzi. Lakini pia niungane na mleta uzi kua unastahili sifa hiyo na nyingine nzuri walokua nazo wanyama wazuri, kuanzia ndege tausi hadi mnyama twiga....hongeraNilivyoona huu uzi nikajikuta nakimbilia kufungua nione yaliyomo ghafla nilichokiona ndani nikacheka sana sababu mie huwa Kondoo namuona tu na wala sijuagi tabia zake zaidi ya kila ninapomuona kajawa na kamas* huku kichwa kinaangalia chini.
Haya mleta uzi wacha na mie niamini hivyo Ahsante.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hahahaaa. Nimeyasikia aiseee.Hajar unayasikia haya?
Say something Hajar tukusikie
Hahaha... Twiga analiwa na simba... HahaMme wangu ni Simba
Mimi ni twiga
Unajua kwanini?hahaha
ila inategemea na kondoo wa wapi....kondo wengine ni wabishi na jeuri kama mbuzi.Nilivyoona huu uzi nikajikuta nakimbilia kufungua nione yaliyomo ghafla nilichokiona ndani nikacheka sana sababu mie huwa Kondoo namuona tu na wala sijuagi tabia zake zaidi ya kila ninapomuona kajawa na kamas* huku kichwa kinaangalia chini.
Haya mleta uzi wacha na mie niamini hivyo Ahsante.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]