Mfananishe member wa JF na mnyama unaempenda au usiyempenda na utoe sababu

Mfananishe member wa JF na mnyama unaempenda au usiyempenda na utoe sababu

Kaka Mie huwa nampenda akitembea tu yaani kama katoto kanakojifunza kutembea ila tabia zake hata sizijui kwa kweli.

Numbisa.
Kabisaa dada, anatembea kwa mwendo wa kiaina yake yy alafu huwa sio mkorofi....anapenda kukaa na wanyama wanaoelewana tu [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuna member mmoja humu naona jina lake mnasitasita kulitaja, na atakaelitaja naona atajuta kuzaliwa, labda mumuelize anapenda kufananishwa na mnyama gani. Member mwenyewe ni huyu hapa "enicymatneg" mimi simo.
ss mbona na ww umeogapa kumtaja hadi umeandka kinyumenyume, huyo mm namfananisha na Kuku
 
Back
Top Bottom