britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Hehehehenitamshauri kaka asafiri mara kwa mara
Tania gani hiyo inayotaka kujitokeza?
Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,
Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
Ndio maana mimi huwa simlaumu Adam, HATA KIDOGO! Ebu imagine huyo ndio Eva na mpo bustanini wawili tu? unaanzaje kumkwepa? eti mke ya bro? huyo haitaji safari ya kaka, mwanya kidogo tu unatosha....Tuacheni unafiki mazee.
Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,
Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??