Mfano kaka yako kasafiri

Mfano kaka yako kasafiri

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
ee360b5bba824c2dfe135aee82d4dd35.jpg


Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,

Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
 
Ningemuombea dua mbaya kama yeye alivyoniombea miye. Wadhani kubaki na huyo ndani, shetani anahitaji digirii?? Huyo kakako hakutakii mema
 
huyu ni wa kupita nae tu hata kaka akiwepo,dua yangu ni kuwa boss wa kaka azidi kumweka kaka bize kwa safari za kikazi zinazochosha hata akirudi asiweze kuuchosha mzigo.
swala la ngono hekima uwekwa pembeni ndio maana vihoja vya walimu wa madrassa na mapastor haviishi mtaani.
 
ee360b5bba824c2dfe135aee82d4dd35.jpg


Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,

Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
Ndio maana mimi huwa simlaumu Adam, HATA KIDOGO! Ebu imagine huyo ndio Eva na mpo bustanini wawili tu? unaanzaje kumkwepa? eti mke ya bro? huyo haitaji safari ya kaka, mwanya kidogo tu unatosha....Tuacheni unafiki mazee.
 
Ningemshauri kuwa joto analopata kaka si vibaya na mimi akanitunuku mana mali inakuwa haipotei inaliwa na wanandugu
 
Nitamuomba rais aamuru sherehe za kupatwa kwa shemeji zifanyike nyumbani kwa bro [HASHTAG]#just[/HASHTAG] kidding
 
Back
Top Bottom