Mfano kaka yako kasafiri

Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,

Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
Huyu si ni Demu wa Nyani Ngabu Mkulu vipi mbona umekosa Ubunifu vilivyopostiwa usivicopy na kuviweka tena Server Inajaa kuwa creative... Am Just teach you some responsibility tu only sawa mkuu..
 
Hehehehe
 
Ndio maana mimi huwa simlaumu Adam, HATA KIDOGO! Ebu imagine huyo ndio Eva na mpo bustanini wawili tu? unaanzaje kumkwepa? eti mke ya bro? huyo haitaji safari ya kaka, mwanya kidogo tu unatosha....Tuacheni unafiki mazee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio maana mimi huwa simlaumu Adam, HATA KIDOGO! Ebu imagine huyo ndio Eva na mpo bustanini wawili tu? unaanzaje kumkwepa? eti mke ya bro? huyo haitaji safari ya kaka, mwanya kidogo tu unatosha....Tuacheni unafiki mazee.
Aisee umenchekesha saana
 
Hii ni fahari ya macho... Ukishamuonja utamuona tu wa kawaida kama unavyowaona hao wengine uliowahi kuwapitia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…