Mfano kaka yako kasafiri

Mfano kaka yako kasafiri

1473027151267.jpg
 
ee360b5bba824c2dfe135aee82d4dd35.jpg


Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,

Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
Huyu si ni Demu wa Nyani Ngabu Mkulu vipi mbona umekosa Ubunifu vilivyopostiwa usivicopy na kuviweka tena Server Inajaa kuwa creative... Am Just teach you some responsibility tu only sawa mkuu..
 
huyu ni wa kupita nae tu hata kaka akiwepo,dua yangu ni kuwa boss wa kaka azidi kumweka kaka bize kwa safari za kikazi zinazochosha hata akirudi asiweze kuuchosha mzigo.
swala la ngono hekima uwekwa pembeni ndio maana vihoja vya walimu wa madrassa na mapastor haviishi mtaani.
Hehehehe
 
Ndio maana mimi huwa simlaumu Adam, HATA KIDOGO! Ebu imagine huyo ndio Eva na mpo bustanini wawili tu? unaanzaje kumkwepa? eti mke ya bro? huyo haitaji safari ya kaka, mwanya kidogo tu unatosha....Tuacheni unafiki mazee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio maana mimi huwa simlaumu Adam, HATA KIDOGO! Ebu imagine huyo ndio Eva na mpo bustanini wawili tu? unaanzaje kumkwepa? eti mke ya bro? huyo haitaji safari ya kaka, mwanya kidogo tu unatosha....Tuacheni unafiki mazee.
Aisee umenchekesha saana
 
Hii ni fahari ya macho... Ukishamuonja utamuona tu wa kawaida kama unavyowaona hao wengine uliowahi kuwapitia...
 
Aisee umenchekesha saana[/QUOT]Mkuu mimi siyo comedian bali nimsema kweli.Hata Kama wewe ndio Bro wangu na unamiliki nyara adimu kama hiyo, yaani hata ushinde naye ndani tu mimi lazima ningekunyua😀😀😀😀Hapo Fongolism ni unkwepable.
 
Back
Top Bottom