Mfano kaka yako kasafiri

Mfano kaka yako kasafiri

Watu wachokozi sana.......hebu tuacheni tufanye kazi bana!😀😀😀😀
 
Majibu mengi yaliyotolewa ni kipimo tosha cha mambo yafuatayo;
1. Mind set ya watu wengi ilipo.
2. Migogoro ya kifamilia hasa kaka mkubwa anapoonekana kuitenga familia yao (hasa wadogo zake).
3. Kupungua kwa ujaribu na kujaliana hata kwa ndugu wa damu.
 
ee360b5bba824c2dfe135aee82d4dd35.jpg


Let say kaka kasafiri na ukabaki na Shem huyo alafu mko wawili nyumba nzima na anaogopa chumbani kwake ,

Ungemshauri nini
Na ungemshaurije kaka yako kudhibiti tabia inayotaka kujitokeza??
Hapo nitamshauri kaka nimsaidie kuwasomesha watoto wetu maana tutakuwa tumechangia damu kwa hao watoto
Huo mzgo hata kaka asipo ondoka lazima nile
 
Back
Top Bottom