Mfano: Kocha Fadlu asipowapeleka Simba makundi, mtamfukuza?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Wanasimba wenzangu kwema, few days to go. kabla ya mechi yetu na Al ahly Tripoli. timu yetu tunaijua wazee.

kwa mfano :

fadlu akishindwa kutupeleka makundi nani alaumiwe??

a) Mangungu
b) Fadlu
c) Timu

Tajiri asiusishwe kabisa tafadhali, atazila πŸ˜‚.

Maana mchawi lazima apatikane,

Unahisi atakuwa nani mchawi??

 
UONGOZI WA MO NI WA HOVYO SANA.
TIMU INASHINDWA KUSAJILI WACHEZAJI WA MAANA TOP INASAJILI WACHEZAJI DARAJA LA NNE NA TANO.

HOW COME UNASHINDWA KUSAJILI
1. Mayele.
2. Feisal.
3. Mabululu.
4. Mpanzu.
5. Kapumbu.
6. Dube

Unaya ubwege una
Mpoteza chama
Unasajili
Ayoub, nouma, okejepha, Ngoma,Ohua.
Hawa wote wameshindwa.
 
Tukifungwa jumapili kombe la loosers, ndondo cup shirikisho, kombe la kina mama mashangingi , basi chief Mangungo ndo wa kufa nae kwanza atupishe, huyu dingi hana upepo wa makombe, kisha tunahamia kwa kocha tunamtimua hafai, level ndogo simba big team rank ni namba moja East Africa, kwanza Fadlu ni kocha wa viungo hawezi kuleta muunganiko wa timu , then tunashusha rungu kwa wachezaji hawajitambui, hawajitumi wengi viwango vya championship, mwisho tunashusha lawama kwa Mo kwa ubahili wa kusajili vifaa, tukitoka hapo tunahamisha nongwa kwa mashabiki maandazi hata KMC watu elfu 6 uwanja haujai, then tunamponda sana mganga wetu yuko pemba kashindwa uchawi na mganga wa Yanga na last tunamkaanga msomali Rage The Great kutuita simba Mbumbumbu na tukawa mbumbumbu kweli , maana maneno yanaumba!!
Yaani hata loosers cup makundi tumeshindwa kutoboa?? Huyu simba au nyau?

Kuna mmoja nimemsahau, semaji la dunia!! Huyu lazima turuke nae!!

Yanga 'aka' uto oyeee!!
 
bado mechi. wanamda wa kuwa bora. sema kikosi cha Last year kilikuwa na players with experience wengi sana.

kikosi hiki ni kubet tu
 
SIKIA WE TUNDALIHANYWA KUSAJILI BAADHI YA WACHEZAJI ULIOWATAJA HAPO NI GARAMA KUBWA AMBAYO SISI SIMBA HATUWEZI KUIMUDU KWA MFANO MABULULU THAMANI YAKE NI BILIONI 4.4 UNAYO? MAYELE PYRAMID WANATAKA BILIONI 6 UNAYO? DUBE ALIIKATA SIMBA AKACHAGUA KWENDA YANGA, HAPO LABDA MPANZU NA FEITOTO KAPUMBU GARASA LABDA TUNGEMSAJILI MIAKA 5 ILIYOPITA, TUIPE TIMU MUDA.
 
Feisal akija simba itakuwa failure, akatae sundowns aje simba,

Mpanzu atawasumbua sana simba, akili yake ipo ulaya, in short simba needs players ambao wanataka kuja simba
 
Kwani ww kama mwanachama kadi yako ya simba mwisho kuilipia? Lini
All the best
 
Irrelevant example
 
Tatizo la simba ni wanachama kama wapo, kuendesha timu ya mpira siyo kama familia kunahitajika uongozi jumuishi, "collective leadership"
 
Feisal akija simba itakuwa failure, akatae sundowns aje simba,

Mpanzu atawasumbua sana simba, akili yake ipo ulaya, in short simba needs players ambao wanataka kuja simba
Nyie mchezaji akihama yanga ndio mnaona anastahili kwenda nje, mlianza kwa Ajibu Sasa Feisali

Mruhusuni Mzize kwanza Kama mnatamani wachezaji waende nje.
 
Marudio kwa Mkapa watatoka droo ya 1-1 tu. Halafu kwenye penalty simba atashinda penalty 3-2 na kuingia makundi labda kama CAF bado wanahesabu mabao ya ugenini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…