Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Ni swali tu wakuu,
Miaka 15 nyuma hili swali lilikuwa ni rahisi sana kulijibu maana Serikali ya Kikwete ingeenda upande wa Marekani maana mahusiano yetu na watu wa magharibi yalikuwa ni kama Kiredio na Vee Dollarz
Baada ya Magu kuingia mambo yakabadilika kidogo. Tukaanza kuwaita marafiki zetu wa magharibi "mabeberu" na hiyo trend imeendelea hadi sasa japo Samia alikuja ku-neutralize situation kuanzia 2021 hadi 2023.
Sasa nataka kuuliza mfano Mchina na Mmarekani "wakikichafua", sisi tutaenda upande gani? Formation inajulikana tayari
Team 1: China, Russia & Iran
Team 2: USA, EU & Israel
Kwa kile kitendo cha CCM kuwaalika North Korea, China na Russia kisha kuwaacha watu wa magharibi wakiongozwa na Marekani napata kihali huenda tukaingia hapo kwa Team 1
Soma zaidi: Chama cha Kim Jong Un chashiriki mkutano wa CCM wa kuzindua ilani ya chama
Nyie wenzangu mnadhani tutaangukia wapi?