Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

Wata tiiii final watatupenda final
Refariiii
By Bien& Alikiba mpka utiii
Uache nyeto ndio nikukabidhi huyu binti
Haya nimeacha nyeto jamani, kama nilikuwa nimesema napiga nyeto bc mjue I'd yangu ilikuwa imehakiwa na sasa I'd ipo mikono salama kwa mhusika asiyepiga nyeto 😎
 
Naam, ngoja tulete nguzo Huko mtaani kwenu mana Naskia tatizo n nguzo ndo mana mnatumia koroboi na utambi wangu uliolegea japokuwa mnautaka Kila siku uwape mwanga
Yeleuwiiiiii
Pongezi kwa chama cha mapinduzi
CCM Hoyeeeeee
Mbunge mbaga safiiiiiiiiiiiiiiii
Umemee safiiiii
Sasa ni rasmi tunastisha matumizi ya utambi na koroboi🤝🤝🤝🤝🤝
 
sawaaaa ila kabla ya yote hebu tutajie aidii yako mpya unayotumia kutapeli watu hum jf,, ili siku nikijichanganya nijue nakukwepa vipi👌🤸‍♀️🤸‍♀️
I'd n hii tuu, nyngn labla n mizimu yangu ambayo mm siijui na sina taarifa nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…