Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #521
Wee mfunge kamba usipate shida mbuzi wako mwenyeweNimekuelewa bamkwe uwe unakuja unanishikia😂
Wee mfunge kamba usipate shida mbuzi wako mwenyeweNimekuelewa bamkwe uwe unakuja unanishikia😂
Hapana ila anataka kujua pishi jipyaBamkwe we ndo unafundisha wanawake mapishi ya kutega wanaume?
Kwamba ana kubana mpaka mwishoohuo muda wa kushtaki unautoa wap
habari za kushtakiana ni utoto unapotezea tu kila mtu ashike hamsini zake yann kujipa mawazoKwamba ana kubana mpaka mwishoo
Ahahah sio kweliihabari za kushtakiana ni utoto unapotezea tu kila mtu ashike hamsini zake yann kujipa mawazo
ukweli ni upiAhahah sio kwelii
YesIla si ana perfom well
Hee! Numbisa nani kakufundisha haya matusi?Baba mkwe mwanao alishasema humu akilomba mara moja tu anaanza kuona hakuna jipya anatafuta chimbo jingine. Muonye🤣🤣🤣🤣
😅😅nashangaaHee! Numbisa nani kakufundisha haya matusi?