Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

Nna maisha ya kawaida mno, sina marafiki wengi, mm n introvert, hvy hii ndo njia ya kunipa ahueni.

Nadhani maisha n vile unavyoyafanya yawe, mm nimeamua kuyaweka yawe ya kutabasamu Hata kama kuna yanayoniumiza.
tabasamu muhimu mtu wangu,, mi nipo katikati nikikutana na mtu tukaelewana huwa najimwaya sana kwake shart ni moja awe wangu pekeangu😂😂😂😂

ila pia ni ngumu sana ku socialize na mtu ambae sijamzoea labda aanze yeye,, kwahiy kuna mda nakua intro kuna mda nakua extro...
 
Back
Top Bottom