Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

tabasamu muhimu mtu wangu,, mi nipo katikati nikikutana na mtu tukaelewana huwa najimwaya sana kwake shart ni moja awe wangu pekeangu😂😂😂😂

ila pia ni ngumu sana ku socialize na mtu ambae sijamzoea labda aanze yeye,, kwahiy kuna mda nakua intro kuna mda nakua extro...
Yah mkuu, hakuna haja ya kupanic kwenye maisha hasa pale unapojua hiyo panic haibadilishi chcht.

Nenda na wanaoenda nawe.

Ila bhana, ukipata wa kuendana nae inakuwa poa Sana aisee, hata kama mpo ndani hamna chakula hamuwezi kuhisi njaa
 
ni kweli sema ndo hivyo saivi ni ngumu sana kumpata mtu real ambae hana makando kando iwe ni rafiki au mahusiano yoyote japokua wapo ila mpka m vibe sasa shida ndo inaanzia hapo

mimi sinaga marafiki kabisa ile wa kushibana😅 ila ninao watu tunao fahamiana tukikutana mahali tunazungumza tukitoka hapo kila mtu anaendelea na issue zake
 
Back
Top Bottom