win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
mshikilie sana huyo mtu asee na umtunze kwa wivu mkubwa sana☺️🤗Yah ipo hy kwa ndugu.
Mm na huu umri wangu, rafiki ambaye nayeweza kusema mbele za watu kuwa huyu n rafiki n mmoja tuu 😂
kwan umri wako unarange kwenye ngapi vilee nishasahau😎