Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 2,049
- 6,903
Mkuu naona unaelekea kusaliti chamaOK, nitafute.
Mkuu naona unaelekea kusaliti chamaOK, nitafute.
Niko serious this timehuyu anatania hata usimtilie maanani😆😆😆
Chama hakiwezi kusalitiwa, Kila kitu kitakuwa kwenye nafasi yakeMkuu naona unaelekea kusaliti chama
ndo maana nimesema huyo anatania,, 😂Mkuu naona unaelekea kusaliti chama
Niko serious mamaa, bc tufanye yote n utani but Kwenye hili Naomba ujue n seriousndo maana nimesema huyo anatania,, 😂
Naona kama anaka-userious furani hivi kwa mbalindo maana nimesema huyo anatania,, 😂
jf hakuna waowaji,, usije kuniharibia usichana wangu bure😆😆😆😆😆Niko serious mamaa, bc tufanye yote n utani but Kwenye hili Naomba ujue n serious
we tokaaaaaaaaaNaona kama anaka-userious furani hivi kwa mbali
Leo ndugu yetu umekamatikaNiko serious mamaa, bc tufanye yote n utani but Kwenye hili Naomba ujue n serious
Acha hizo usimfanyie hivyo mwenziojf hakuna waowaji,, usije kuniharibia usichana wangu bure😆😆😆😆😆
nishamshtukia au ni wew upo na aidii mbili,, humu sio pa kuamini qabisa mwanetu😅😅Ananipigia debe 😂
Si unajua me namaono so nmeona kwa jicho la tatuwe tokaaaaaaaaa
kwa njia nyepesi ni chawa wako si ndio (jokes) 😅😅😅Ananipigia debe 😂
Wengine Sisi sio wale wa kujichanganya sana wa watu mtaani, so kama tukipata mtu mtandaon ambaye unaona anakaribia kuchanganya chemistry unafanya hvy, Huwez kujua usikute ndo mzazi mwenzako umewekewa njia hapo 😂Leo ndugu yetu umekamatika
kwendeni huko ,, nia yenu ni ovu kwangu🤸♀️🤸♀️Si unajua me namaono so nmeona kwa jicho la tatu
Au n I'd yangu nyngn 😂kwa njia nyepesi ni chawa wako si ndio (jokes) 😅😅😅