win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
hapo sawa,, hapa inabidi nipige dua ili nisiingie cha kiume😁Bc Mbaga mmoja na Mbaga tapeli mmoja 😂
hapo sawa,, hapa inabidi nipige dua ili nisiingie cha kiume😁Bc Mbaga mmoja na Mbaga tapeli mmoja 😂
Yaaan nitumie I'd mbili kumfatiliathibitisha 😎
Hapana mkuu, hy n general bhana 😂mbona kama unanitupia dongo😂😂😂😂
So, kipi kifuatachohapo sawa,, hapa inabidi nipige dua ili nisiingie cha kiume😁
sasa mtaachana Kwani unamfuatilia nani hapa jamani,, sisi wote hatufahamiani🤦♀️Yaaan nitumie I'd mbili kumfatilia
Mtu nisiemfahm khaaa
Umekwea mnazi kwa mkono mmojaIpi labla hujaiona tu
kipi tena?So, kipi kifuatacho
Ila Huyu kwenye ile biashara yetu pale mgodini atafaa kabisa, Au ww maono yako yanasemajeHicho kitu akipo
naelewa babuuHapana mkuu, hy n general bhana 😂
Comment za JF zisikudanganye, kuna maisha nje ya JFUmekwea mnazi kwa mkono mmoja
Mpka mti una karibia kukatika kuna nini tena 💔
Babuu 😂naelewa babuu
Hamna kitu hapo bintisasa mtaachana Kwani unamfuatilia nani hapa jamani,, sisi wote hatufahamiani🤦♀️
Umeongea ukweli mtupuWengine Sisi sio wale wa kujichanganya sana wa watu mtaani, so kama tukipata mtu mtandaon ambaye unaona anakaribia kuchanganya chemistry unafanya hvy, Huwez kujua usikute ndo mzazi mwenzako umewekewa njia hapo 😂
Mambo ya kumuomba Mungu akupe mume/Mke wakati kila anayekuja mbee yako unamkataa n uchizi Sasa huo
Naomba unichek plzkipi tena?
Mbongo Mpe picha, ufafanuzi anao yeye 😂Hamna kitu bapo binti
Kazi hamna💔
Kitu ishakua nyepe nyepe kwa sabuni eve
mkono mmoja kiunoni mwingine nimeinua tu vidole juu namna hiii 👌👌Babuu 😂
Kama vile unanisuta
Daaah aliotunga ule msemo kuna watu na viatuHamna kitu hapo binti
Kazi hamna💔
Kitu ishakua nyepe nyepe kwa sabuni eve
hivi hii ni mara ya ngapi umeomba nikucheki🤭🤭 anywayyyyy nipe usiku mmoja wa kufanya tafakuri😅😅😅Naomba unichek plz