win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
oyaaa asante kwa kunisanua,,, naona mpka jirani kakimbia😆😆😆Mimi sio mganga ila ndio kinachoenda kutokea😎
oyaaa asante kwa kunisanua,,, naona mpka jirani kakimbia😆😆😆Mimi sio mganga ila ndio kinachoenda kutokea😎
yaaaan naringa tu hapaWanawake ni jeshi kubwa naona umepata mtetezi
Asikimbie mchezo😂😂oyaaa asante kwa kunisanua,,, naona mpka jirani kakimbia😆😆😆
Umenikomalia Sana Mkuu, vp kwenye kupitapita nshapiga kwako au? Mana dah 🙌 unakaba kila kona.
Kwahy unafurah navyodhalilishwa?yaaaan naringa tu hapa
Sawa bossoya wanetu narudi onetime endeleeni kuchatika
Au sio 😂Asikimbie mchezo😂😂
umekamatika vibayaaa Hata najua basi endelea kushikilia hapo hapo,, narudiUmenikomalia Sana Mkuu, vp kwenye kupitapita nshapiga kwako au? Mana dah 🙌 unakaba kila kona.
Bc nisamehe, ile poor performance Ilikuwa n uchovu tuu but this time nachapa Saa 24
Nisaidie kumuuliza, nyie wanawake labla hamtofichana au vile vile ntawekeana kinyongo 😂nitajuaje sasa,, badala muulizane huko😅😅😅
Rusha taulo ulingoni 😂Umenikomalia Sana Mkuu, vp kwenye kupitapita nshapiga kwako au? Mana dah 🙌 unakaba kila kona.
Bc nisamehe, ile poor performance Ilikuwa n uchovu tuu but this time nachapa Saa 24
Mm nataka alete huo ushahidi kwamba hamna kazi kwanguumekamatika vibayaaa Hata najua basi endelea kushikilia hapo hapo,, narudi
Anakaba mpaka penalty pole sana mkuuUmenikomalia Sana Mkuu, vp kwenye kupitapita nshapiga kwako au? Mana dah 🙌 unakaba kila kona.
Bc nisamehe, ile poor performance Ilikuwa n uchovu tuu but this time nachapa Saa 24
Nimekalia bomba😂umekamatika vibayaaa Hata najua basi endelea kushikilia hapo hapo,, narudi
Dah Yn kweli na ww unamuunga mkono?umekamatika vibayaaa Hata najua basi endelea kushikilia hapo hapo,, narudi
Sasa huyu ndo wakumtoa kafara 😂Anakaba mpaka penalty pole sana mkuu
Basi nakutaka ww, khs ile poor performance haitojirudia tena n uchovu tuuNimekalia bomba😂
Nyama yangu chunguSasa huyu ndo wakumtoa kafara 😂