Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sasa ww n ndala Sasa, sio kiatu tena 😂Kiatu hapa
My name Kiatu 😎
Sasa ww n ndala Sasa, sio kiatu tena 😂Kiatu hapa
My name Kiatu 😎
Ndege kapeperukaDah Yn kweli na ww unamuunga mkono?
Nachokaaaaaa 😭
HakunaaaaBasi nakutaka ww, khs ile poor performance haitojirudia tena n uchovu tuu
Ndo mzuri kwenye migodi yetu 😂Nyama yangu chungu
Naona mkuu unapigwa two in oneDah Yn kweli na ww unamuunga mkono?
Nachokaaaaaa 😭
Ww n jangili 😂Ndege kapeperuka
Baniani mbaya kiatu chake dawa kwa Hisani ya wahenga😃😃Sasa ww n ndala Sasa, sio kiatu tena 😂
Hii ni katafunua 😂Naona mkuu unapigwa two in one
Washa Bluetooth nikutumie Kofi mana umezidi Sasa 😂Baniani mbaya kiatu chake dawa kwa Hisani ya wahenga😃😃
Asalaleeeee nimeishaaa😭Ndo mzuri kwenye migodi yetu 😂
Niueeee ufutahi nafsi yako 🥹Washa Bluetooth nikutumie Kofi mana umezidi Sasa 😂
Acha wivu au ni upweke unakusumbuaUmeanza kuingizwa kwenye mfumo😏😏
Lakini bado ukawaka na mwanga mkaupata, hii inamaanisha hii hila yako unayotaka kuipandikiza Kati yangu na win-one itakufa gizani na Sisi tutang'aa kama huo utambi uliosokomezwa kwenye kiroboi 😎Umewahi kuona utambi ukisokomezwa kwenye koroboi binti?
Au matatizo ya akili 😂Acha wivu au ni upweke unakusumbua
Msema ukweli mpenzi wa MunguAcha wivu au ni upweke unakusumbua
Utakufa umefubaa machoNiueeee ufutahi nafsi yako 🥹
Haiwezekani nipo na nyie sako kwa bako😎Lakini bado ukawaka na mwanga mkaupata, hii inamaanisha hii hila yako unayotaka kuipandikiza Kati yangu na win-one itakufa gizani na Sisi tutang'aa kama huo utambi uliosokomezwa kwenye kiroboi 😎
Tulia, hatutaki kuumiza kafara yetuhivi humu hamna emoji ya kilio cha yowe🤣🤣🤣🤣 kuna comments nyingine zinahitaji ukunga kabisa
AstghafirullahAu matatizo ya akili 😂
Dah mkwe umedataKizuri kula na mwezio usiwe mchoyo