Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

Wengine Sisi sio wale wa kujichanganya sana wa watu mtaani, so kama tukipata mtu mtandaon ambaye unaona anakaribia kuchanganya chemistry unafanya hvy, Huwez kujua usikute ndo mzazi mwenzako umewekewa njia hapo 😂

Mambo ya kumuomba Mungu akupe mume/Mke wakati kila anayekuja mbee yako unamkataa n uchizi Sasa huo
mbona kama unanitupia dongo😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom