Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Basi 😂Michezo hiyo shemeji
Basi 😂Michezo hiyo shemeji
Kwann unasema sipo serious?wakati mtu mwenyew haupo serious😂😂😂 kahuzunika kuliko wew
Dah 😂Sasa mkuu unataka kulilia nn
Uchungu hayaelezekiSasa mkuu unataka kulilia nn
jamaa ana spana kali😂😂😂😂Dah 😂
Niko serious mamaa, naomba niamini hapaacha ufwala bwana inatosha,, najua haupo serious😂😂😂 usikaze sana mimi ni kiumbe dhaifu
hapa tupo jukwaa la chit chat kwahiy ni mambo ya utani tuu,,Kwann unasema sipo serious?
Uyu jamaaa leo kapatikana😄Uchungu hayaelezeki
Na ww c unanikataa ndo mana unawapa nguvu wananichangia 😔jamaa ana spana kali😂😂😂😂
No plz trust mehapa tupo jukwaa la chit chat kwahiy ni mambo ya utani tuu,,
Uchawi upohapa tupo jukwaa la chit chat kwahiy ni mambo ya utani tuu,,
But Kwann useme niache ufwala?acha ufwala bwana inatosha,, najua haupo serious😂😂😂 usikaze sana mimi ni kiumbe dhaifu
Basi mkamalizane PM kwenye userioushapa tupo jukwaa la chit chat kwahiy ni mambo ya utani tuu,,
Aandike baruwa kwa mkono kuthibitisha yupo seriousUyu jamaaa leo kapatikana😄
yoooh si utani auBut Kwann useme niache ufwala?
Inauma sana hiyo neno ufwala but upo kwenye target inabidi ujifanye mjinga 😕But Kwann useme niache ufwala?
Nawe pia darling usiku mwemakwaherini
jamni😥Inauma sana hiyo neno ufwala but upo kwenye target inabidi ujifanye mjinga 😕
ua wish is my command 😋🤗Nawe pia darling usiku mwema
Lala unono
Ombi: fungua PM kijana wawatu anategemewa asante🙏