Ilikuwa chini ya polisi aya uko bukinave wanapewa amri izo acha uzwazwaNchi ilikuwa chini ya jeshi kwa siku kadhaa walitoa amri zao na wengi hatukuzifuata hadi sasa tunalalamika. Acha kuombea kitu usichokijua kwa sababu fulani amesema.
Jeshi likichukua nchi ina maana utaishi kwa amri za kijeshi, je uko tayari kuzifuata?
Huu Uhuru wa kawaida umewashinda mkichanganyiwa na marshal law mtatoboa? Kuna watu wanatamani wasivyovijua.Nchi ilikuwa chini ya jeshi kwa siku kadhaa walitoa amri zao na wengi hatukuzifuata hadi sasa tunalalamika. Acha kuombea kitu usichokijua kwa sababu fulani amesema.
Jeshi likichukua nchi ina maana utaishi kwa amri za kijeshi, je uko tayari kuzifuata?
Wao si watu? Mbona wanazifuata? Sikupingi bali napinga msingi wa Ujenzi wa hoja yako.je uko tayari kuzifuata?
😁😁😁Jeshi hili hili ambalo Amiri jeshi wake anaongea na na kuchamba mpaka anajishika viuno
Kwani polisi siyo Jeshi? Ndo shida ya kushikiwa akiliIlikuwa chini ya polisi aya uko bukinave wanapewa amri izo acha uzwazwa
Shida kubwa mliyonayo watu kaa wewe ni hiyo hapo ☝🏾uliyoandika.... Jeshi likichukua nchi ina maana utaishi kwa amri za kijeshi, je uko tayari kuzifuata?