Maccavel01
Member
- Jun 1, 2026
- 20
- 44
Mawazo mfu haya!Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,
Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana
Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers
Maccavel de jr ✍️✍️✍️
Tabata mwanachi, Dar es salaam
Inaweza kuwa tiketi, ili mheshimiwa aonekane ni mwemaMawazo mfu haya!
Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,
Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana
Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers
Maccavel de jr ✍️✍️✍️
Tabata mwanachi, Dar es salaam
Sahihi lakini mheshimiwa kama Raia na mtanzania, akaguswa na hili suala la kuwachangia chadema, as raia wa kawaida Wanachanga, chadema watapokea?Chadema wananyimwa Ruzuku wanayostahili kisheria
😁😂😅Inaweza kuwa tiketi, ili mheshimiwa aonekane ni mwema
Chama cha siasa cha kweli hakihitaji mchango mmoja mkubwa. Kinahitaji michango mingi midogo midogo kutoka kwa wananchi wa kawaida (grassroots support)!Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,
Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana
Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers
Maccavel de jr ✍️✍️✍️
Tabata mwanachi, Dar es salaam
Lakini mfano, unabakia kuwa mfano tu au unasemaje ndugu yangu.Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,
Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana
Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers
Maccavel de jr ✍️✍️✍️
Tabata mwanachi, Dar es salaam
0..Mama Abduli ni katili sana ukichukua fedha zake halafu ukafanya kinyume na matarajio yake.
Umemaliza mkuu, assumption can't be reality,Lakini mfano, unabakia kuwa mfano tu au unasemaje ndugu yangu.
Cdm watachukua maana ni hela zetu zinazoibiwa huko serekalini.Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,
Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana
Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers
Maccavel de jr ✍️✍️✍️
Tabata mwanachi, Dar es salaam
imeshabuma hio waambieni mabwana zenu waunde script nyingine vinginevyo tunawaona ni ndondocha na majuha.Heche alivyosugu wa kula michango haiwezi kuogopa kula hela za rais!
Wewe jamaa una roho mbaya hata shetani anasuburi !!Heche itakuwa sherehe kwake!!