Mfano Rais akawachangia CHADEMA tonetone, Hali itakuwaje?

Mfano Rais akawachangia CHADEMA tonetone, Hali itakuwaje?

Inatokea Rais samia, nae akaguswa na tonetone la chadema, akaamua kuchanga hata million 50,

Je chadema watapokea huo mchango?
Je watanzania wataona ni njia kuelekea maridhiano?
Je kweli Rais anaweza kuwachangia chadema, au ni jambo lisilowezekana

Mpira naurudisha kwenu ma great thinkers

Maccavel de jr ✍️✍️✍️

Tabata mwanachi, Dar es salaam
Kodi zetu
 
Back
Top Bottom