Mfanyabiashara ashitakiwa kwa makosa 106 likiwamo la utakatishaji wa fedha zaidi ya Sh 1.5 bilioni

Hawa walipiga bank kama 5 hivi, naona wameanza na ya CRDB, bado kuna NBC n.k zinakuja ila walipovuta parefu ni NBC kama Bilioni 4 hivi...kuna mchaga mmoja kwenye hiyo crew yao huko jela ndio balaa kabisa
Watu wanacheza na weakness
 
Kiufupi tumezoea kuziita viagra au jina la mtaani VEGA
 
Kutoka 49mil hadi 1.56 Bilioni imekuwaje kuwaje hapo?
 
Wewe Shayo na genge lako, mnaiba 1B halafu mnazifanyia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…