Mfanyabiashara asimama kidete dhidi ya Chalamila, tusije kusikia amechukuliwa na watu wasiyojulikana

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu, angalieni wenyewe hapa kijana alivyomkazia RC Chalamila, amwambia Chalamila unakuja kututisha kwenye maduka yetu kisa tumefunga, akishikilia msimamo wake wa kutofungua duka lake.

Pale Chalamila alipoambulia kuzomewa.

Tusije kusikie kachukuliwa na watu wasiyojulikana au kapata ajali ambayo haina kichwa wala miguu. Mkae hivyo hivyo kupewa spana mpaka wananchi wapate haki zao.

#KataaMachawa
#KataaUozo2025

====

Pia soma:

Huo ni ujinga tu huwezi shindana na dola hata siku moja at the end ataumia tu na hicho kibiashara chake
 
Katitu

Hajashindana na Dola alikuwa anamfundisha jinsi ya kuwa na hekima na kuongea katika umma.

Chalamila ni mjinga na mjinga si tusi ni sifa ya kutokujua, hivyo kijana mwenzetu alikuwa anamfundisha kama kiongozi wa umma umefika hapa ulipaswa kuuliza shida ni nini na sio kuanza kusema tumetuma jeshi kupigana congo hivyo hapa sishwindi kuleta jeshi.

Kongole kijana mwenzetu kwa kujitambua na kutoa elimu kwa mkuu wa mkoa chalamila.
 
Wakuu, angalieni wenyewe hapa kijana alivyomkazia RC Chalamila, amwambia Chalamila unakuja kututisha kwenye maduka yetu kisa tumefunga, akishikilia msimamo wake wa kutofungua duka lake.

Pale Chalamila alipoambulia kuzomewa.

Tusije kusikie kachukuliwa na watu wasiyojulikana au kapata ajali ambayo haina kichwa wala miguu. Mkae hivyo hivyo kupewa spana mpaka wananchi wapate haki zao.

#KataaMachawa
#KataaUozo2025

====

Pia soma:

Huyo atashughulikiwa na ccm.
 
Hekma ni jambo zuri sana... mdomo na kujifanya Shujaa sometimes inaleta shida sana.

Watanzania wengi wanafki watapeleka details za mwamba hata kama hawajatumwa, watapeleka tu kumchomea.. na yeye atafatiliw vzr kbs.. siku mtu anakuj dukani kwake ananunua kitu na yeye hatotoa risiti ndio mwanzo wa kudakwa kwa mujibu wa sheria na ndipo ataona rangi zote ambazo hajawah kuziona.
 
Huo ni ujinga tu huwezi shindana na dola hata siku moja at the end ataumia tu na hicho kibiashara chake
Kuna watu uwa mnataka kutukanwa alafu tupewe ban humu....hivi unashindwa kweli kukaa kimya kuliko kuandkia Ujinga kama huu,au wewe ni mke wa chalamila....Anasemwa rais sembuse huyo kipara Makeleza hasiyejua wajibu wake kutwa tu kuangaika na maswala ya Bia,barmaid na Madada Poa?
 
Huo ni ujinga tu huwezi shindana na dola hata siku moja at the end ataumia tu na hicho kibiashara chake
We naye acha ujinga huo, sasa ameenda kutisha watu badala kama kiongozi kutoa way forward? Huo ni ujinga uliotukuka. Na nna kuhakikishia ili mkuu wake apate mileage atamtumbua.
Anatishia jeshi badala ya kujadili matatizo ya watu. Vete ala mierda.
 
Hekma ni jambo zuri sana... mdomo na kujifanya Shujaa sometimes inaleta shida sana.

Watanzania wengi wanafki watapeleka details za mwamba hata kama hawajatumwa, watapeleka tu kumchomea.. na yeye atafatiliw vzr kbs.. siku mtu anakuj dukani kwake ananunua kitu na yeye hatotoa risiti ndio mwanzo wa kudakwa kwa mujibu wa sheria na ndipo ataona rangi zote ambazo hajawah kuziona.

nNadhani ndicho kitu ambacho kinaenda kumtokea mwamba
 
Yaani huyo anatakiwa ashughulikiwe yeye binafsi hata kama wenzake watasamehewa kodi
 
Back
Top Bottom