Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Kwa sasa Sativa hatumuoni yasije yakamtokea na huyu mfanyabiashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo yakikukuta unapambana kivyako hakuna mtu atakusaidiaKwa sasa Sativa hatumuoni yasije yakamtokea na huyu mfanyabiashara
Bongo yakikukuta unapambana kivyako hakuna mtu atakusaidia
Huyu ndo MWANAUMEWakuu, angalieni wenyewe hapa kijana alivyomkazia RC Chalamila, amwambia Chalamila unakuja kututisha kwenye maduka yetu kisa tumefunga, akishikilia msimamo wake wa kutofungua duka lake.
Pale Chalamila alipoambulia kuzomewa.
Tusije kusikie kachukuliwa na watu wasiyojulikana au kapata ajali ambayo haina kichwa wala miguu. Mkae hivyo hivyo kupewa spana mpaka wananchi wapate haki zao.
#KataaMachawa
#KataaUozo2025
====
Pia soma:
Umenena vemaWewe
Wewe ni shoqer kumaniner.... Wapuuzi kama chalamila niwakutia bisibisi mataqon.
Nadhani chalamila ameshindwa kushusha tamper za hao wafanyabiashara ,badala yakusolve amewagawaWakuu, angalieni wenyewe hapa kijana alivyomkazia RC Chalamila, amwambia Chalamila unakuja kututisha kwenye maduka yetu kisa tumefunga, akishikilia msimamo wake wa kutofungua duka lake.
Pale Chalamila alipoambulia kuzomewa.
Tusije kusikie kachukuliwa na watu wasiyojulikana au kapata ajali ambayo haina kichwa wala miguu. Mkae hivyo hivyo kupewa spana mpaka wananchi wapate haki zao.
#KataaMachawa
#KataaUozo2025
====
Pia soma:
Na nchi itaumia isipokusanya kodiHuo ni ujinga tu huwezi shindana na dola hata siku moja at the end ataumia tu na hicho kibiashara chake
Angeweza hata kupigwa mawe sijui angemlaumu nani. Anajifanya mjuaji ndiyo shida.RC amejidharirisha mwenyewe! Katika mazingira kama haya kama kiongozi alitakiwa kutumia hekima na busara kuzungumza na wananchi katika hali hiyo ya mtafaruku walionao.
Wewe ni shujaa wa hapa JF tu. Nje ya JF huna lolote.Kuna watu uwa mnataka kutukanwa alafu tupewe ban humu....hivi unashindwa kweli kukaa kimya kuliko kuandkia Ujinga kama huu,au wewe ni mke wa chalamila....Anasemwa rais sembuse huyo kipara Makeleza hasiyejua wajibu wake kutwa tu kuangaika na maswala ya Bia,barmaid na Madada Poa?
Huo ni ujinga tu huwezi shindana na dola hata siku moja at the end ataumia tu na hicho kibiashara chake
Hii comment poa sana😍😍😂Kuna watu uwa mnataka kutukanwa alafu tupewe ban humu....hivi unashindwa kweli kukaa kimya kuliko kuandkia Ujinga kama huu,au wewe ni mke wa chalamila....Anasemwa rais sembuse huyo kipara Makeleza hasiyejua wajibu wake kutwa tu kuangaika na maswala ya Bia,barmaid na Madada Poa?
Watu wanaumizwa kwenye kodi halafu wengine wanakwenda kutumia kodi hizo kulipa sukari hewa ambayo haijawahi kuingizwa na kuhifadhiwa kwenye godaoni lolote zaidi ya meli kufika bandarini na kuondoka na mzigo wake kuelekea nchi isiyojulikana kisha kutengeneza vibali feki kuwa sukari imeingia .Angeweza hata kupigwa mawe sijui angemlaumu nani. Anajifanya mjuaji ndiyo shida.
Maswali makini kabisa hayaWatu wanaumizwa kwenye kodi halafu wengine wanakwenda kutumia kodi hizo kulipa sukari hewa ambayo haijawahi kuingizwa na kuhifadhiwa kwenye godaoni lolote zaidi ya meli kufika bandarini na kuondoka na mzigo wake kuelekea nchi isiyojulikana kisha kutengeneza vibali feki kuwa sukari imeingia .
Watuomyeshe kuwa ilihifadhiwa wapi na ilisambazwa na akina nani kwa utaratibu gani mana aliyesemwa ameingiza hiyo sukari hana kiwanda hivyo hana miundo mbinu ya kuhifadhi na kusafirisha sukari
Kuna tofauti ya dola na uhuni.Huo ni ujinga tu huwezi shindana na dola hata siku moja at the end ataumia tu na hicho kibiashara chake
Safi sana Mkuu.hizo ni akili za kizamani ndugu, akili za kiporipori enzi za ujima, funguka, come to the civilized world. Mkubwa ni Mungu tu, ninyi nyote uwe mkuu wa mkoa au nani ni wafanyakazi wetu na mnakula mshahara wa kodi yetu, ninyi ni watumishi tu, na mnaweza kutoka anytime, izo ofisi mtaziacha. heshimuni watu, acheni kiburi, na wacheni watu watoe dukuduku lao, enzi za kufumba watu midomo kisijewakuta kinachowakuta wakenya sasaivi, ninyi ndio mtasababisha watu wachoke na kuleta fujo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtamuumiza kwa sababu ni maskini lakini wale walioleta meli ya sukari ikaondoka nazogo wake kule somalia mnawalinda kwa sababu bil. 500 mmegawana kwa kuingiza sukari hewa .
Badala ya kutuonyesha wapi tani elfu 60 za sukari zilipokua zimeshishwa na kusambazwa mnahangaika na peti ishues .
Wafanyabiashara sio walimu mnaowatisha kuwafukuza kazi . Serikali imejisahau kuwa biashara hata kama hakuna serikali inafanyika na watu wanatajirika. Biashara sio kazi ya uteuzi.
Fuatilieni sukari hewa . Mmemfunga Mpina mdomo kwa muda tu.
CCM imeishiwa hoja. Alifukuzwa Mkoloni mweupe kwa mipasho tu na ngonjera sembuse nyie wakoloni weusi msio na jipya kichwani.
Labda hana cha kupoteza au hata duka lenyewe hana kaajiriwa tu.Hekma ni jambo zuri sana... mdomo na kujifanya Shujaa sometimes inaleta shida sana.
Watanzania wengi wanafki watapeleka details za mwamba hata kama hawajatumwa, watapeleka tu kumchomea.. na yeye atafatiliw vzr kbs.. siku mtu anakuj dukani kwake ananunua kitu na yeye hatotoa risiti ndio mwanzo wa kudakwa kwa mujibu wa sheria na ndipo ataona rangi zote ambazo hajawah kuziona.
mbaya ni ikiwa alionyesha utovu wa nidhamuNasisitiza
Hata hao walimu ni kwa vile hawana umoja.Mtamuumiza kwa sababu ni maskini lakini wale walioleta meli ya sukari ikaondoka nazogo wake kule somalia mnawalinda kwa sababu bil. 500 mmegawana kwa kuingiza sukari hewa .
Badala ya kutuonyesha wapi tani elfu 60 za sukari zilipokua zimeshishwa na kusambazwa mnahangaika na peti ishues .
Wafanyabiashara sio walimu mnaowatisha kuwafukuza kazi . Serikali imejisahau kuwa biashara hata kama hakuna serikali inafanyika na watu wanatajirika. Biashara sio kazi ya uteuzi.
Fuatilieni sukari hewa . Mmemfunga Mpina mdomo kwa muda tu.
CCM imeishiwa hoja. Alifukuzwa Mkoloni mweupe kwa mipasho tu na ngonjera sembuse nyie wakoloni weusi msio na jipya kichwani.
Winga😅Labda hana cha kupoteza au hata duka lenyewe hana kaajiriwa tu.