Mfanyabiashara asimama kidete dhidi ya Chalamila, tusije kusikia amechukuliwa na watu wasiyojulikana

Mfanyabiashara asimama kidete dhidi ya Chalamila, tusije kusikia amechukuliwa na watu wasiyojulikana

Wakuu, angalieni wenyewe hapa kijana alivyomkazia RC Chalamila, amwambia Chalamila unakuja kututisha kwenye maduka yetu kisa tumefunga, akishikilia msimamo wake wa kutofungua duka lake.

Pale Chalamila alipoambulia kuzomewa.

Tusije kusikie kachukuliwa na watu wasiyojulikana au kapata ajali ambayo haina kichwa wala miguu. Mkae hivyo hivyo kupewa spana mpaka wananchi wapate haki zao.

#KataaMachawa
#KataaUozo2025


====

Pia soma:

Usije kushangaa RC na makelele yote hayo kumbe huko sirini ni mfiraji au yeye mwenyewe anafirwa!

Mimi mpaka leo namshangaa mno aliyekuwa RC wa Simiyu Yahaya Nawanda

Huyu jamaa kwenye matukio ya shughuli zake za kila siku alikuwa kama mtu mstaarabu na muungwana sana.

Nakumbuka RC Nawanda mapema mwaka huu alialikwa kwenye hafla na Ibada maalumu Shinyanga ya kumtaafisha Askofu Mkuu wa K.K.K.T Dayosisi ya Kusini ya Ziwa Viktoria Mch. Emmanuel Makala iliyofanyika Kanisa kuu (Cathedral Church) hapo Shinyanga.

Jamaa Alimwagiwa sifa kemukemu na maaskofu wetu mbalimbali kama mtu muungwana na mstaarabu pamoja na cheo chake cha u-RC. Lakini kumbe jamaa ndani ya moyo na nafsi yake ni mtu aliyefunikwa na giza totoro linalozalisha uchafu usiomithilika

Huyu naye (Chalamila), usishangazwe na kelele zake hizo. Kwanza ukimtazama usoni mwake tu anaonekana ni mtu mnafiki asiyepumika!
 
Back
Top Bottom