Mfanyabiashara asimama kidete dhidi ya Chalamila, tusije kusikia amechukuliwa na watu wasiyojulikana

Huyu ndo MWANAUME
 
Nadhani chalamila ameshindwa kushusha tamper za hao wafanyabiashara ,badala yakusolve amewagawa
 
Huo ni ujinga tu huwezi shindana na dola hata siku moja at the end ataumia tu na hicho kibiashara chake
Na nchi itaumia isipokusanya kodi
Biashara ndio zinaendesha nchi wewe kima inalipwa mashahara

Maduka yakifungwa miezi 3 we mshahara hulipwi

Msikilize vizur mwigulu
 
Wewe ni shujaa wa hapa JF tu. Nje ya JF huna lolote.
 
Huo ni ujinga tu huwezi shindana na dola hata siku moja at the end ataumia tu na hicho kibiashara chake


Mtamuumiza kwa sababu ni maskini lakini wale walioleta meli ya sukari ikaondoka nazogo wake kule somalia mnawalinda kwa sababu bil. 500 mmegawana kwa kuingiza sukari hewa .

Badala ya kutuonyesha wapi tani elfu 60 za sukari zilipokua zimeshishwa na kusambazwa mnahangaika na peti ishues .

Wafanyabiashara sio walimu mnaowatisha kuwafukuza kazi . Serikali imejisahau kuwa biashara hata kama hakuna serikali inafanyika na watu wanatajirika. Biashara sio kazi ya uteuzi.


Fuatilieni sukari hewa . Mmemfunga Mpina mdomo kwa muda tu.

CCM imeishiwa hoja. Alifukuzwa Mkoloni mweupe kwa mipasho tu na ngonjera sembuse nyie wakoloni weusi msio na jipya kichwani.
 
Hii comment poa sana😍😍😂
 
Angeweza hata kupigwa mawe sijui angemlaumu nani. Anajifanya mjuaji ndiyo shida.
Watu wanaumizwa kwenye kodi halafu wengine wanakwenda kutumia kodi hizo kulipa sukari hewa ambayo haijawahi kuingizwa na kuhifadhiwa kwenye godaoni lolote zaidi ya meli kufika bandarini na kuondoka na mzigo wake kuelekea nchi isiyojulikana kisha kutengeneza vibali feki kuwa sukari imeingia .

Watuomyeshe kuwa ilihifadhiwa wapi na ilisambazwa na akina nani kwa utaratibu gani mana aliyesemwa ameingiza hiyo sukari hana kiwanda hivyo hana miundo mbinu ya kuhifadhi na kusafirisha sukari
 
Maswali makini kabisa haya
 
Safi sana Mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda hana cha kupoteza au hata duka lenyewe hana kaajiriwa tu.
 
Hata hao walimu ni kwa vile hawana umoja.
Umoja ukipatikana, uoga hukaa kando.


Kwenye issue kama ya wafanyabiashara usidhani hawapo ambao wapo upande wa serikali, wapo ila hawawezi hata kusema fyoko maana wengi tayari washaamua jambo lao. Kwahiyo wanaufyata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…