Mfanyabiashara asimama kidete dhidi ya Chalamila, tusije kusikia amechukuliwa na watu wasiyojulikana

Usije kushangaa RC na makelele yote hayo kumbe huko sirini ni mfiraji au yeye mwenyewe anafirwa!

Mimi mpaka leo namshangaa mno aliyekuwa RC wa Simiyu Yahaya Nawanda

Huyu jamaa kwenye matukio ya shughuli zake za kila siku alikuwa kama mtu mstaarabu na muungwana sana.

Nakumbuka RC Nawanda mapema mwaka huu alialikwa kwenye hafla na Ibada maalumu Shinyanga ya kumtaafisha Askofu Mkuu wa K.K.K.T Dayosisi ya Kusini ya Ziwa Viktoria Mch. Emmanuel Makala iliyofanyika Kanisa kuu (Cathedral Church) hapo Shinyanga.

Jamaa Alimwagiwa sifa kemukemu na maaskofu wetu mbalimbali kama mtu muungwana na mstaarabu pamoja na cheo chake cha u-RC. Lakini kumbe jamaa ndani ya moyo na nafsi yake ni mtu aliyefunikwa na giza totoro linalozalisha uchafu usiomithilika

Huyu naye (Chalamila), usishangazwe na kelele zake hizo. Kwanza ukimtazama usoni mwake tu anaonekana ni mtu mnafiki asiyepumika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…