TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Mzee Zakaria nadhani aliamia Zambia ila alikua mtu poa sana huyo mfanyabiadhara alikua anataka mtu anaefanya nae biashara akue sio kila siku unaenda kununua idadi ile Ile ya box...betri za tiger ndio nyumbani kwake...
Tiger zilichukuliwa na GSM enzi za JK.
Hadi leo ukitaka hizo Betri utazichukua Lumumba, kwenye Tower yao
 
Yeye anauza kutokana na uwezo wa wengi
Mkuu...ingia la sinza or kkoo!

Kuna wadada nilipishana nao mlangoni wanasonya kabisa nilivyoingia ndo nikajua why[emoji848][emoji848]

Simsingizii, sina wivu ila zile sio nguo or viatu vya mtu mwenye akili timamu kuvaa, hata kama ni masikini!
 
Inna Lilah Wainna Ilayh Rajiun.. Allah amlaze mahala pema wanapolazwa wema.
 
Mungu amuhifadhi panapostahili Aamen.

Wakubwa wengi wa kiserikali walikuwa wanufaika kutoka kwake moja kwa moja

Wakubwa hao wa serikali walinufaika nae kivipi tena mkuu? Wakati ukiwa mkubwa serikalini wewe sio mnyonge tena !
 
Amen amewekeza kwa Allah na akamlipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…