Aliwapa mitaji wanunuzi wadogo wa bidhaa zake/Aliwajengea na kuwasomesha watoto yatima..
Kubwa zaidi ni huyu aliekuwa akienda mwenyewe Muhimbili kuwaona wagonjwa ma wale wanao takiwa kusafiri nje ya nchi anawasafirisha...
Amejenga nyumba nyingi sana za Ibada (Misikiti)...
Ndie alieanzisha kampeni ya kukarabati hospitali kongwe na kuwapatia vifaa vya kisasa, Japo wajanja wakazi fanya watakavyo...
Nitamkumbuka alipo okoa maisha ya mke na mtoto wa rafiki yangu..
Mimi namuombea Dua Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amiin..