TANZIA Mfanyabiashara Haroon Zakaria Afariki Dunia

Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo.anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills,zan fast ferries , majipoa Nk.

Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
View attachment 1768882
Sidhani kama hii taarifa ni ya kweli, nimeona somewhere imekanushwa lakini wakasema yupo Aga Khan Hospital taabani
 
Simulia japo kidogo mkuu kwa wasiojua wema wake
Aliwapa mitaji wanunuzi wadogo wa bidhaa zake/Aliwajengea na kuwasomesha watoto yatima..

Kubwa zaidi ni huyu aliekuwa akienda mwenyewe Muhimbili kuwaona wagonjwa ma wale wanao takiwa kusafiri nje ya nchi anawasafirisha...

Amejenga nyumba nyingi sana za Ibada (Misikiti)...
Ndie alieanzisha kampeni ya kukarabati hospitali kongwe na kuwapatia vifaa vya kisasa, Japo wajanja wakazi fanya watakavyo...
Nitamkumbuka alipo okoa maisha ya mke na mtoto wa rafiki yangu..
Mimi namuombea Dua Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amiin..
 
Wafanya biashara wakubwa na family businesses mara nyingi hufanywa na watu wa nje.

Waafrika weusi wanafikiria ngono 24hours wanawake ndio wanafikiria kuolewa na matajiri, roho mbaya, wivu na mawazo ya kishirikina. Full of Chaos.
 
Aliwapa mitaji wanunuzi wadogo wa bidhaa zake/Aliwajengea na kuwasomesha watoto yatima..

Kubwa zaidi ni huyu aliekuwa akienda mwenyewe Muhimbili kuwaona wagonjwa ma wale wanao takiwa kusafiri nje ya nchi anawasafirisha...

Amejenga nyumba nyingi sana za Ibada (Misikiti)...
Ndie alieanzisha kampeni ya kukarabati hospitali kongwe na kuwapatia vifaa vya kisasa, Japo wajanja wakazi fanya watakavyo...
Nitamkumbuka alipo okoa maisha ya mke na mtoto wa rafiki yangu..
Mimi namuombea Dua Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amiin..
Huyu ndo ameumaliza mwendo salama.
 
K
Mzee wa mafuta ya kula korie ameumaliza mwendo kwa amani...

Hizi familia biashara hazifi baba akifariki
Kweli mkuu ila ingekuwa ni sisi watoto wangeshaanza uchuro kabla mzee hajahifadhiwa apumzike kwa amani
 
Mkuu tafadhari jazia nyama najua wajua mengi kuhusu yeye. Wewe born town
Nilibahatika kumuona mara kadhaa
Alikuwa simple tu,pesa anaijua na ni bahiri
Kuna mwanangu mmoja anaishi toronto
Anafanya real estate business huko,alienda zungumza naye kuhusu yeye kununua mjengo huko...kila akitajiwa garama za bei huko anakuambia mbona pesa nyingi subiri kwanza nijipange nkiwa na pesa ntakujulisha

Ova
 
Aliwapa mitaji wanunuzi wadogo wa bidhaa zake/Aliwajengea na kuwasomesha watoto yatima..

Kubwa zaidi ni huyu aliekuwa akienda mwenyewe Muhimbili kuwaona wagonjwa ma wale wanao takiwa kusafiri nje ya nchi anawasafirisha...

Amejenga nyumba nyingi sana za Ibada (Misikiti)...
Ndie alieanzisha kampeni ya kukarabati hospitali kongwe na kuwapatia vifaa vya kisasa, Japo wajanja wakazi fanya watakavyo...
Nitamkumbuka alipo okoa maisha ya mke na mtoto wa rafiki yangu..
Mimi namuombea Dua Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amiin..
Allahuma Ameen
 
Back
Top Bottom