Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Tz tumepoteza mwelekeo vby sana!
Kuna shida pia mamlaka ya uteuzi!
Ndugu yangu, Nyerere aling'atuka na ujumaa ambao wengi wetu tumebakia na kuganda huko ilhali dunia inaenda kwa kasi na ubepari.Tz tumepoteza mwelekeo vby sana!
Kuna shida pia mamlaka ya uteuzi!
Siku Mwinyi alivyosema ruksa alifungulia ubepari nchini. Magufuli alitaka kusimama kwenye ujumaa na kwenye ubepari kwa wakati mmoja kapasuka msamba.
Rais Samia kausoma mchezo na mdundo wake, kachagua njia ya ubepari kama wakongwe hawa Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Rais Samia anauishi ubepari kama nyakati zinavyotaka, shida ya wengi wetu tunamtazama kwa darubini ya ujamaa tukiwa tumevaa miwani ya ubepari.