Mfanyabiashara kuongoza Shirika la Umma Rais Samia unaenda kusiko

Tz tumepoteza mwelekeo vby sana!
Kuna shida pia mamlaka ya uteuzi!

Tz tumepoteza mwelekeo vby sana!
Kuna shida pia mamlaka ya uteuzi!
Ndugu yangu, Nyerere aling'atuka na ujumaa ambao wengi wetu tumebakia na kuganda huko ilhali dunia inaenda kwa kasi na ubepari.

Siku Mwinyi alivyosema ruksa alifungulia ubepari nchini. Magufuli alitaka kusimama kwenye ujumaa na kwenye ubepari kwa wakati mmoja kapasuka msamba.

Rais Samia kausoma mchezo na mdundo wake, kachagua njia ya ubepari kama wakongwe hawa Mwinyi, Mkapa na Kikwete.

Rais Samia anauishi ubepari kama nyakati zinavyotaka, shida ya wengi wetu tunamtazama kwa darubini ya ujamaa tukiwa tumevaa miwani ya ubepari.
 
Sasa tatizo liko wapi,kama anafanya biashara halali,analipa kodi na kutoa ajira?Au unataka siku akistaafu arudi kijijini kusogeza siku za kuishi?Acha mawazo ya ujamaa wa kimasikini.Huyu ni bora kuliko wale watendaji wa serikali wanaotaka vijana kujiajiri wakati wao hawana hata genge la kuzugia .Maharage ni mfano wa kuigwa kwa vijana🤔
 
kuna ubaya upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwepo, weka ushahidi hapa!
 
"ikagundulika"(mind you baada ya uteuzi)

1 Vetting, kama inavyotakikana basi haijafanyika kabisa..

ama sivyo Idara zinazofaya vetting
Huhitaji vetting kwenye hili.

Maharage alipaswa kisheria kuitaja hii biashara kwenye fomu ya kiapo cha maadili siku anaapishwa ukurugenzi TANESCO. Aliitaja ?????

Wakishajaza fomu za mali na madeni huwa yule Jaji anazipeleka wapi zile fomu kama IKULU hawana nakala ??????
 
MAAJABU YA CCM HAYA IPO SIKU "VUNJA BEI" ATATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA BANDARI[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ndio hapo sasa, maadam SSH amesema haya mambo ya conflict of interest, ni vema sasa wateuliwa wake wote wakaguliwe ikiwmo hao wauza magenereta, mwana kulianzisha na sasa na alipate
Taifa lipo njiapanda.
 
Wanawake wenye weledi niliyokutana nao wapo Scandinavia, na hiyo ni kwa sababu ya utamaduni wao wa usawa kati ya Wanaume/Wanawake tokea wanazaliwa. Huyu Rais mwanamke wa Tanzania ni anomaly: ametoka jamii inayowakandamiza wanawake kihisitoria na kiutamaduni, na amefikia nafasi aliyo nayo kwa bahati tu. Hakidhi vigezo na viwango vya kuwa Rais wa nchi. Hana weledi huo unaotakiwa.
 
hivi kuna asie na Biashara serikalini?

hebu mtaje nasi tumjue basi mtaalamu?

hadi sugu ni mfanyabiashara, una far nchezo nini!!!!
 
Hyu mama naekuja tu kutia nukusi kwenye ikulu ,rais hata kuunda serikal kwake ni mzigo kipi anakiweza sasa
 
Ulikuwepo, weka ushahidi hapa
MAAJABU YA CCM HAYA IPO SIKU "VUNJA BEI" ATATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA BANDARI[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2764205
Kwa taarifa yako Vunja bei ni msomi mzuri tu na anaweza kusimamia bandari vizuri tu! Usidharau watu ndugu yangu!
 
1. Anaye kidhi yukoje? Anakuaje?
2. Kuna chuo cha kufundisha urais?
3. Umempa muda gani hadi uhitimishe kuwa hakidhi vigezo?

Samia ni rais kwa mujibu wa katiba iliyopo, sio kwa bahati! Hakuomba Ndugu Magufuli afe, ni mipango ya Mungu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…