johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi.
Rip Velani
Rip Velani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Kembeni ni Lembeni. Wewe kada umebwia mkangafu au?Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Kembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi.
Rip Velani
Umenikumbusha Mtwivila kwa mchungaji Msigwa!Siyo Kembeni ni Lembeni. Wewe kada umebwia mkangafu au?
Mungu anasema wanadamu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!Mungu atajibu tu
Miongoni mwa ma boss wenye ma lory ya bei ya juu kuliko wote hapa bongo.na magari yake nyuma kwenye kaandika hivyo hivyo.Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi.
Rip Velani
Uko corona amna nije? Hapa bongo bado kama wiki tu tutaanza kukataana!!Corona itawamalize acha wengine tuendelee kula maisha Finland
Acha kujifanya unajua makazi ya watu ilihali unasema uongo! Msigwa anaishi Mkimbizi na sio mtwivila ulikojifunzia kunywa mbitu!Umenikumbusha Mtwivila kwa mchungaji Msigwa!
Corona ni mbane aisee...anaondoka hadi na ma tycoon !!Miongoni mwa ma boss wenye ma lory ya bei ya juu kuliko wote hapa bongo.na magari yake nyuma kwenye kaandika hivyo hivyo.
PerkeleCorona itawamalize acha wengine tuendelee kula maisha Finland