TANZIA Mfanyabiashara maarufu Velani Mkomba ajulikanae kama Vigu Co aka Kilimanjaro Lembeni Kwetu afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara maarufu Velani Mkomba ajulikanae kama Vigu Co aka Kilimanjaro Lembeni Kwetu afariki dunia

Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi.

View attachment 1697746

Rip Velani
Hapo mwisho na kunukuu, "jamaa amepoteza Uhai kwa kukosa uduma, jana alizidiwa akapelekwa Aga khan akakosa mashine kumejaa, Regency kumejaa, nasikia walihangaika hospital kibao" , mwisho wa kunukuu.

Kwenye hayo maneno kuna umuhimu wa matajiri wetu kusaidia vifaa kwenye hospital za chini hili kuongeza uwezo wa hospitali zetu kuudumia wagonjwa mahututi.

Wakati kama huu wa magonjwa ya mlipuko mara nyingi hospitali zina zidiwa na ndio vifo vinaongeza.
 
Aise kwa maelezo ukiyasikia wkt wa pilikapilika za kujaribia kuokoa maisha ya jamaa utabaki mdomo wazi !
Ngoja tuishie hapaa

Ova

Mrangi weka wazi mkuu ,Agakhan,Regency Kumejaa hakuna ventilators,Inasikitisha sana!! Tumenunua Midege Kibao ambayo hayaingizi hata 100 wakati hospital hakuna vifaa tiba.
 
Poleni, kuna watu wana hela asee,hapa smart yangu imekua mbovu nawaza ntapata wapi nyingine na mishahara ndo hii majukumu kibao, dah any way, guys take care, sali kabla hujasaliwa.
 
Back
Top Bottom