Elisha Sarikiel
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 905
- 1,540
Nashangaa wenye vyeo,wasomi na matajiri wakifariki wanahisiwa ni ugonjwa wa coronavirus !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni strain mpya ya South AfricaWatasha hivi vidude wameviongeza nguvu nini? Mbona vya mwaka jana havikuwa vikali hivi?
Hapo mwisho na kunukuu, "jamaa amepoteza Uhai kwa kukosa uduma, jana alizidiwa akapelekwa Aga khan akakosa mashine kumejaa, Regency kumejaa, nasikia walihangaika hospital kibao" , mwisho wa kunukuu.Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi.
View attachment 1697746
Rip Velani
Umeambiwa wameenda Regency na Aga Khan zimejaa. Wewe umeiona Regency pekee hujui hata uko duniani ventilator zilipunguaKila siku tunasema Regency siyo hospitali
Aise kwa maelezo ukiyasikia wkt wa pilikapilika za kujaribia kuokoa maisha ya jamaa utabaki mdomo wazi !
Ngoja tuishie hapaa
Ova
Hospitali yoyote inapopata wagonjwa wengi kwa wakati mmoja wanazidiwa.Kila siku tunasema Regency siyo hospitali
Kulikoni?Aise kwa maelezo ukiyasikia wkt wa pilikapilika za kujaribia kuokoa maisha ya jamaa utabaki mdomo wazi !
Ngoja tuishie hapaa
Ova
Ni kali sanaHii ni strain mpya ya South Africa
Nadhani yupo anaesubiriwa kufa ndo hatua zichukuliwe!!!Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi.
View attachment 1697746
Rip Velani
Mtani wetu huyu alikuwa na malori mengi Ni wa lembeni mwangaSiyo Kembeni ni Lembeni. Wewe kada umebwia mkangafu au?
Eti nasikia walihangaika hospitali kibao, walihangaika nini sasa..Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi.
View attachment 1697746
Rip Velani
Ulienda lini Finland wewe Nimemfumania mpenzi wangu akiwa na mama yangu mdogoCorona itawamalize acha wengine tuendelee kula maisha Finland
huna ndugu Tanzania nchi ya ahadi?Corona itawamalize acha wengine tuendelee kula maisha Finland
Ndiyo ulikokuwa unaenda kushinda kwenye vinyungu?Umenikumbusha Mtwivila kwa mchungaji Msigwa!