TANZIA Mfanyabiashara maarufu Velani Mkomba ajulikanae kama Vigu Co aka Kilimanjaro Lembeni Kwetu afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara maarufu Velani Mkomba ajulikanae kama Vigu Co aka Kilimanjaro Lembeni Kwetu afariki dunia

R.I.P bro Virani.
Rekebisha jina anaitwa Virani Mkomba
 
Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi.

View attachment 1697746

Rip Velani

Ingekuwa ni jiwe, bi chamia, mwinyi, maalim, kassim na wengine namna hiyo ventilator isingekosekana. Ingetolewa kwa yeyote huyo afe ila wenyewe wabaki.

Tusidanganyane, hatuko sawa mbele ya ugonjwa huu:

Back
Top Bottom