Wajinga wengi kwenye hii mada wameonyesha ujinga wao na wivu wa kijinga.
Mo Dewji amesoma GeorgeTown University na sio kitu cha bahati mbaya kutunikiwa hiyo heshima.
Amestahili kwa juhudi zake.
Hii doctoral hat ya huyu musukuma ni feki, basi tu haisemwi hadharani Kwa sababu ya 'regacy'. Kofia gani imekuwa mzigo kichwani? Sijui waliazima chuo hapa nchini.
Inaonesha jinsi jamii isivyoheshimu elimu! Usishangae kesho ukasikia Shigongo nae ni DR!!!! Kama Kikwete aliweza kutunukiwa na Mukandala basi hata na Hawa wengine wanaweza kutunukiwa!!