Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nchi hii ilifikia mahali pabaya sana!Aisee
Hahahaaaa.......!Alitaka kuing'oa hotel yake aisafirishe hadi nchi za ugenini?
NDIOAlitaka kuing'oa hotel yake aisafirishe hadi nchi za ugenini?
Unaelewa lolote kuhusu uwekezaji?Alitaka kuing'oa hotel yake aisafirishe hadi nchi za ugenini?
Inahusu nini?Hiyo mbona ni Mount Royal Hotel ya Iringa
Hii ya Nyakandu si mzigo wa kuuza twiga wetu?Desderia hotel hongereni!
Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Huenda angeiuza aondoke na cashAlitaka kuing'oa hotel yake aisafirishe hadi nchi za ugenini?
Muache kutudanganya kama watoto wadogo hili sio jukwaa la Comedyinahusu nini ?
Ndani ya CCM wewe wangapi?Desderia hotel hongereni!
Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Sugu anayo attention toka yupo kijana, The guy need no attention, ungejua Historia yake usingeandika hiki ulichoandika hapaKwan akisikilizia kimya kimya bila kutangaza atapungukiwa nin? anatafuta attention tu huyo kijana wa chadema.
Mtu unayelipwa elfu 7 haya mambo kwako ni mazito sanaSugu ana biashara gani zaidi ya kale kahotel alikokopea mil700?? Au kuvuta mineli nayo biashara?