Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi asaini Mkataba wa kusimamia Masuala ya Logistics za kampuni ya Wachina

Masahihisho : Uwekezaji wa Sugu hautokani na kiinua mgongo cha Bunge , hasa haya masuala ya logistics , huyu kabla ya ubunge alishakuwa na malori ya Scania ya kubeba mizigo
 
Deep sana hii
 
Sugu anasaini mkataba wa kuajiriwa hapa si mchezo.......
ubunge atausikia redioni tu...
 
Kheeee
Nyumbu mmerithi tabia za mataga za kusifia sifia?
 
Nao

Naomba kupewa tafsiri ya mwekezaji mzalendo🤔please
 
Kwa Sugu huo ni muendelezo tu wala hajachelewa
 
Humjui sugu vizuri
, sugu ni tajiri tokea kitambo binafsi niliyashayashuhudia baadhi ya malori yake mwaka 2004

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Alaf kesho aje aanze kutetea bandari ya bagamoyo
 
binafsi jamaa sugu,namkubali kwa upambanaji wake,ukiangalia historia yake tangu enzi zile za wananiita sugu![emoji443][emoji445][emoji441][emoji442],Hadi leo ..jamaa ana big IQ.japo kiitikadi za siasa Niko against nae.
 

Fikra Chanya🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…