Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Makonda ukimshughulikia na huyu nitaamini kweli umejipanga kupambana na dawa za kulevya! GSM wanakufadhili kumbe ndiyo nyoka hatarii
Makonda anajua mchezo mzima,
Hii operation nzima ya Makonda ni kisasi cha wauza unga, ametumwa na upande mmoja na walimdanganya kuwa ni maji ya ugoko kaingia mzima-mzima kumbe ni maji ya utosi sasa hivi anatapatapa ameshakunywa ndoo mbili za maji.

Hii sinema ndiyo kwanza inaanza.

Mwigulu Nchemba umekua mnyonge sana kwenye hili sakata, huku site wanasema kuwa umepigwa sindano ya ganzi huna namna.
 
Kumshughulikia huyu jamaa kunahitaji moyo wa chuma, maana kawashika viongozi wote wa juu na mkoa wa Dar es salaam. Jamaa anajifanya kutoa misaada mbalimbali, kajenga jengo la kujifungulia kinamama pale hospitali ya Kijitonyama. Anafadhili kampeni mbali mbali za Makonda katika kuliweka jiji katika hali nzuri. Sasa najiuliza tu nani wa kumkamata?
Hapo Dar anajenga pia msikiti na jengo la Bakwata lenye thamani ya billion 5 na messenger mkuu wa kupeleka hizo pesa ni Makonda.
 
Daah maaamae tangu--2012 mpaka leo 2017 unatulete list uchwara kumbe ma don wenyewe wanae mfukoni

Makonda mungu unayemtaja na kijifanya kuimba nyimbo za dini kumbe inafki tu

Kuna series Breaking bad na zile Godfather nilikua nafkiri ni maigizo tu basi naanza kuamini hizi drug cartel zinafanya kazi kwa mfumo huu
 
Kwenye Breaking Bad ilikua ni ngumu kuamini yule teacher boya ndiyo cocker wa mzigo [emoji3]
 
Ni bahati mbaya sana kuwa kuna watanzania wapumbavu wakutupwa wanaonunulika bure. Kama watanzania nisingefikiri kungekuwa na mtu anatukana watu humu eti wana wivu. Wakati umefika kwa sasa watanzania tuanze kuchuukua hatua kulinda nchi yetu. Mtoa mada amesahau kusema kuwa huyu bwana ni Myemen, mshenzi kuliko mbwa. kwa kuwa viongozi wetu wa juu nao pia ni mafisadi wahujumu uchumi, ndio maana hawa watoto wadogo wa kiyemeni wanaweza kutufanya watanzania wote wapumbavu. Ridhwana kikwete anashinda ofisini hapo kila siku ya mungu kama mbwa koko. Kampeni zangu za ubunge zimefadhiliwa na huyu bwana, huku akipewa magari na pesa za kufanya kampeni. Huko ikulu tulimuona JK kabebeshwa kitoto kidogo cha huyu bwana, yote hiyo kujikomba. Sasa a huyu mfunga kamba alipoingia ndio anayetumika ku protect ufisadi wa the Kikwetes, hapo ndipo shamba la mtandao wa Ridhwani, ndio maana huyu bwana anakula na kunywa, na literally kuishi kwa Gharib. Hawa watu hata kama watoto wao wakifanyiwa huo unyama, watanyamaza kwa kuwa wameshatekwa. lazima tujikomboe jamani msitegemee Serikali hii itaweza kutulinda. Hawa watu wanajulikana wazi juu ya biashara zao haramu ikiwemo madawa ya kulevya, zaidi ya Mbowe, Gwajima, Ray C na Chidi Benz, hiyo GSM foundation ni utakatishaji pesa haramu kwa nini serikali haichukui hatua. Wewe uliona funza gani kwenye ubongo, kiwanja kilichohodhi heshima ya TANU kipewe mvuta bangi na jambazi wa kimataifa, humo ndani wana CCM wakiwemo Mbangula, Zungu, Kimbisa etc wanashinda kwenye hizo corridor wakifuata visenti. Tunajua kabisa wakati wa Membe kila siku asubuhi alikua anapelekewa dola 5,000 na dereva wa Ghalib, ofisini kwake na hela hizo kukabidhiwa secretary wa Membe. Ndio maana hata wakati wa lile sakata lao la kukamatwa na mabilioni ya hela wakizitorosha nje, hakuna kilichofanyika zaidi ya watu wa usalama wa taifa kuhamia hapa ofisini, huku wakitoka na makapu ya hela kila jioni, na shauri limeishia njiani. Fake Country, fake government
 
tena kwa ndege ya serikali na hela za walipa kodi, hela zetu, how cheap, halafu akapigwa picha kuturingishia, halafu leo tunaambiwa eti mahakama ya mafisadi haina wateja, huyu mama nani sijui anasubiri nini wakat vigezo amevifikisha kwa alama AAAAA
Umesahau kwamba alishwamwagiwa tindikali kule Msasani? Akakimbiziwa Sauzi na JK akaenda kumjulia hali kulekule
a za
 
Ndo mana niliwahi kusema yamkini Makonda kawakamata watu pabaya,huwezi kuta mtu ana pesa kama bank na ameanza kutafuta miaka labda ni kumi tu na hajatoka familia tajili lazima ujiulize,sisi sote tumo humu nchini tunatafuta pesa miaka na miaka lakini tunaishia kupata pesa ya chakula tu na kinyumba cha vyumba vitatu uswahilini
 
Napata ukakasi apo kwenye kuingiliwa kinyume na maumbile..sasa hawa marafiki zake sio kuwa jamaa anawafanya hivyohivyo...af pia watu hawa c wamefunguliwa jalada na cro...ngum kumeza
 
tena kwa ndege ya serikali na hela za walipa kodi, hela zetu, how cheap, halafu akapigwa picha kuturingishia, halafu leo tunaambiwa eti mahakama ya mafisadi haina wateja, huyu mama nani sijui anasubiri nini wakat vigezo amevifikisha kwa alama AAAAA

a za
Nakumbuka hizo picha zikirushwa kwemye 'sosho netwek' almost zote maarufu. Ndipo akili za waswazi zilipoanza kufunguka kwamba pamoja na madhambi yote aliyofanya huyu bwana kumbe ana mkono unaomwezesha!
 
Ni bahati mbaya sana kuwa kuna watanzania wapumbavu wakutupwa wanaonunulika bure. Kama watanzania nisingefikiri kungekuwa na mtu anatukana watu humu eti wana wivu. Wakati umefika kwa sasa watanzania tuanze kuchuukua hatua kulinda nchi yetu. Mtoa mada amesahau kusema kuwa huyu bwana ni Myemen, mshenzi kuliko mbwa. kwa kuwa viongozi wetu wa juu nao pia ni mafisadi wahujumu uchumi, ndio maana hawa watoto wadogo wa kiyemeni wanaweza kutufanya watanzania wote wapumbavu. Ridhwana kikwete anashinda ofisini hapo kila siku ya mungu kama mbwa koko. Kampeni zangu za ubunge zimefadhiliwa na huyu bwana, huku akipewa magari na pesa za kufanya kampeni. Huko ikulu tulimuona JK kabebeshwa kitoto kidogo cha huyu bwana, yote hiyo kujikomba. Sasa a huyu mfunga kamba alipoingia ndio anayetumika ku protect ufisadi wa the Kikwetes, hapo ndipo shamba la mtandao wa Ridhwani, ndio maana huyu bwana anakula na kunywa, na literally kuishi kwa Gharib. Hawa watu hata kama watoto wao wakifanyiwa huo unyama, watanyamaza kwa kuwa wameshatekwa. lazima tujikomboe jamani msitegemee Serikali hii itaweza kutulinda. Hawa watu wanajulikana wazi juu ya biashara zao haramu ikiwemo madawa ya kulevya, zaidi ya Mbowe, Gwajima, Ray C na Chidi Benz, hiyo GSM foundation ni utakatishaji pesa haramu kwa nini serikali haichukui hatua. Wewe uliona funza gani kwenye ubongo, kiwanja kilichohodhi heshima ya TANU kipewe mvuta bangi na jambazi wa kimataifa, humo ndani wana CCM wakiwemo Mbangula, Zungu, Kimbisa etc wanashinda kwenye hizo corridor wakifuata visenti. Tunajua kabisa wakati wa Membe kila siku asubuhi alikua anapelekewa dola 5,000 na dereva wa Ghalib, ofisini kwake na hela hizo kukabidhiwa secretary wa Membe. Ndio maana hata wakati wa lile sakata lao la kukamatwa na mabilioni ya hela wakizitorosha nje, hakuna kilichofanyika zaidi ya watu wa usalama wa taifa kuhamia hapa ofisini, huku wakitoka na makapu ya hela kila jioni, na shauri limeishia njiani. Fake Country, fake government
too deep hats off
 
Nakumbuka hizo picha zikirushwa kwemye 'sosho netwek' almost zote maarufu. Ndipo akili za waswazi zilipoanza kufunguka kwamba pamoja na madhambi yote aliyofanya huyu bwana kumbe ana mkono unaomwezesha!

2427ec1fac3f17c72d4b29cde2cdd48d.jpg
 
Back
Top Bottom