Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefukua makaburi ya wafu wazitoHuyu jamaa alipona kweli? Ile tindikali maana hasikiki tena anasikika mdogo wake tu
Vipi anaendeleaje boss wako said?Said mohammed saad ni jembe miaka mia 900 na utaishii baba asante kwa ajira famia zetu zinapata mulo kamilii pole tunakuombea upone!!! Hawakufikiiii miaka 1000
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Mkuu una maanisha hana sura/ uso ?your word seems to have come true.. he now has no face..
Thread ya Leo inasomekaje?Haya sasa,msome tena thread ya leo inayomuhusu huyu tajiri
Dawa gani kapata?kesha pata dawa yake, akizidi kuendelea nguvu ya umma itamhukumu .
Jamaa gani?Huyu Jamaa si ndio aliyemwagiwa tindikali? Maelezo ya kutosha tangia 2012 lakini mpaka sasa hajachukuliwa hatua yeyote au na yeye kala na wakubwa kama "LUNGUMI"?
Wewe unaimba au?Tajiri mtata kama salaah
Mwana fa katika dume suruali
TenaHakuna cha majungu wala nini.
Hii habari ni ya kweli. Ninawaomba waandishi wa habari wale ambao huwa hawana tamaa ya mlungula wafuatilie haya mambo polisi na kutafuta wale wahusika wote waliopigwa risasi ili ukweli ujulikane kwa umma. Watu wa aina hii hawatakiwi Tanzania hii.
Ndiyo maana tunahitaji rais atoke tena chama kingine ili kwanza awashughulikie criminals wote na wahamishwe nchini. Kwanza kabisa waweke katika katiba mpya kuwa investor yeyote akihusika na criminal acticvities apigwe PI na mali zake zichukuliwe na serikali. Mbona huko nchi za wengine PI zipo, Tanzania ni shamba la bibi au.
Watanzania tuamke, saa ya ukombozi ni sasa! Nimeumia sana kwa kusoma habari hii.
Goooo night with tears! I love my country!!