Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

Huyu jamaa alipona kweli? Ile tindikali maana hasikiki tena anasikika mdogo wake tu
 
Rostam Aziz anakunywa Chai Ikulu kwa mpinga majizi rais wa wanyonge.

Yusuf Manji yuko Marekani.

Home Shopping Center imekuwa GSM Group.

London and Mbasi Freight Forwaders imekuwa Silent Ocean.

Yanga wanaendelea kula mpunga wa GSM and life goes on !
 
Hakuna cha majungu wala nini.

Hii habari ni ya kweli. Ninawaomba waandishi wa habari wale ambao huwa hawana tamaa ya mlungula wafuatilie haya mambo polisi na kutafuta wale wahusika wote waliopigwa risasi ili ukweli ujulikane kwa umma. Watu wa aina hii hawatakiwi Tanzania hii.

Ndiyo maana tunahitaji rais atoke tena chama kingine ili kwanza awashughulikie criminals wote na wahamishwe nchini. Kwanza kabisa waweke katika katiba mpya kuwa investor yeyote akihusika na criminal acticvities apigwe PI na mali zake zichukuliwe na serikali. Mbona huko nchi za wengine PI zipo, Tanzania ni shamba la bibi au.

Watanzania tuamke, saa ya ukombozi ni sasa! Nimeumia sana kwa kusoma habari hii.

Goooo night with tears! I love my country!!
Tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom