Mfanyabiashara tambua bidhaa ya kwanza kabisa niwewe binafsi

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni.
Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k

Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27, bila kujua ataitumia lini sababu yeye huwa hatumii mikate, ila muonekano wa muuza mikate pichani ulimpa hamasa yakufanya matumizi ya hovyo ya pesa madafu.
 
Attachments

  • img_1_1745916254722.jpg
    img_1_1745916254722.jpg
    311.3 KB · Views: 33
Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni.
Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k

Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27, bila kujua ataitumia lini sababu yeye huwa hatumii mikate, ila muonekano wa muuza mikate pichani ulimpa hamasa yakufanya matumizi ya hovyo ya pesa madafu.
Zegembe ndio lililomvutia, before you sale your product,sell your huu ni msemo wa na salesmen wanaujua sana!
 
Kilichompumbazaa jamaa Yako n hcho kiuno kilicho weka tutaa Kwa nyumaa hapo na c vinginevyo😀😀😀

Ongera bi dadaa Kwa kuuza mikate 27 Kwa mwanaume anaye ongozwaa na nyegee kichwan mwakeee....
Wanapenda vimbaumbau ikoje?!
 
Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni.
Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k

Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27, bila kujua ataitumia lini sababu yeye huwa hatumii mikate, ila muonekano wa muuza mikate pichani ulimpa hamasa yakufanya matumizi ya hovyo ya pesa madafu.
Kabla ya kumpiga picha huyu dada ulimuomba ridhaa yake ama? Kama hukufanya hivyo tayari una kesi ya kujibu.
 
Kwahio na wewe ni bidhaa; Ukifanya hivyo unaweza ukawa mtumwa wa pesa... Au siku akileta kebehi ukamweka sawa usishangae anakasirika (product placement); Au ukakosa wateja ambao ni couples

To each their own....
 
Back
Top Bottom