mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Zegembe ndio lililomvutia, before you sale your product,sell your huu ni msemo wa na salesmen wanaujua sana!Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni.
Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k
Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27, bila kujua ataitumia lini sababu yeye huwa hatumii mikate, ila muonekano wa muuza mikate pichani ulimpa hamasa yakufanya matumizi ya hovyo ya pesa madafu.
Kilichompumbazaa jamaa Yako n hcho kiuno kilicho weka tutaa Kwa nyumaa hapo na c vinginevyo😀😀😀jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27, bila kujua ataitumia lini
Before you sale your product sell yourself!Zegembe ndio lililomvutia, before you sale your product,sell your huu ni msemo wa na salesmen wanaujua sana!
Wanapenda vimbaumbau ikoje?!Kilichompumbazaa jamaa Yako n hcho kiuno kilicho weka tutaa Kwa nyumaa hapo na c vinginevyo😀😀😀
Ongera bi dadaa Kwa kuuza mikate 27 Kwa mwanaume anaye ongozwaa na nyegee kichwan mwakeee....
Unavutiwa na suraa km n kimbau mbauWanapenda vimbaumbau ikoje?!
Haya mambo ni hatari sana😁Zegembe ndio lililomvutia, before you sale your product,sell your huu ni msemo wa na salesmen wanaujua sana!
Mikate yote hiyo,ataila hadi mshahara mwingine utoke ndio iishe!Haya mambo ni hatari sana😁
Sawa mkuu!Unavutiwa na suraa km n kimbau mbau
Kabla ya kumpiga picha huyu dada ulimuomba ridhaa yake ama? Kama hukufanya hivyo tayari una kesi ya kujibu.Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni.