Jibu lake kwako ni halali kabisa.Mbona povu lote hilo wakati humu JF tunajuzana kama hutaki kujibu acha au njoo na ile ID kujifanya kusifia.
Pole kwa yaliyotokea aisee, najua una huzuni, karibu tena jamvini nimefurahi upo my wanguNipo kipenzi changu ❤️
Kuna mtaa vijana wawili haijulikani wako wapi, wameshatafutwa vituo vyote vya polisi mjini na hospitali ila bado, ajabu mmoja bodaboda yake ipo polisi ila yeye no where to be found.Sijajua una lenga nini, ila wapo walio fariki huku waki fanya jitihada wengine wasife.
Hawana picha au video, familia zao hazijui walipo au wako katika hali gani.
Pumzikeni ndugu zetu, haki itakuja tu.
Mwingine jamaa fulani mtaa mmoja, yaani kaacha urithi bila ya kuandika.(Haonekani).Kuna mtaa vijana wawili haijulikani wako wapi, wameshatafutwa vituo vyote vya polisi mjini na hospitali ila bado, ajabu mmoja bodaboda yake ipo polisi ila yeye no where to be found.
Kalamu hiyo jamaa kaniijia na dozen ID kunikejeli badala ya kujibu swali languJibu lake kwako ni halali kabisa.
Sasa tueleze wewe ni sababu zipi zilizo kupeleka kweny 'stray bullet"?
Umekuwa mtu wa ajabu sana siku hizi.
Tutajuwa tu hiyo hali yako inasababishwa na nini, maadam waovu wataendelea kuwepo kuwatumia watu wa aina yako.
Wanaotrend ni waliokufa, kundi la wasioonekana bado ni changamoto.Mwingine jamaa fulani mtaa mmoja, yaani kaacha urithi bila ya kuandika.(Haonekani).
Haya maandamano yamenithibitishia pasipo na shaka yoyote ile! Polisi wengi nchini hawana akili ya kufikiri. Wengi wao ni kama machizi hivi!
Daah! Afadhali! ulivyokuwa unawachachafya wanaume (keyboard warriors) kwenye ule uzi waNipo kipenzi changu ❤️
Yes, huyo jamaa sijui ameathirika kisaikolojia, Wala sikutegemeaUmekuwa mtu wa ajabu sana siku hizi.
Tutajuwa tu hiyo hali yako inasababishwa na nini, maadam waovu wataendelea kuwepo kuwatumia watu wa aina yako.
Sitegemei good news maana kuna habari wengi waliokamatwa na police waliishia kuuliwa kwa kupigwa risasiKuna mtaa vijana wawili haijulikani wako wapi, wameshatafutwa vituo vyote vya polisi mjini na hospitali ila bado, ajabu mmoja bodaboda yake ipo polisi ila yeye no where to be found.
Sasa huyu dada alikosa nini kumiminiwa risasi na kuuawa? Huyu Samia, bi kizee ni mpumbavu sana, hana huruma, ni shetani asiye na adabu.Itazame hii pisi jamani imepigwa risasi na hii mijitu isiyo na huruma kabisa!
Pumzika kwa amani damu yako na za watanzania wengine zitaungana kulipa dhuluma ya uhai huu kwa magaidi ya nchi hii!
Kutoka kwenye Page ya IG ya Twaha Mwaipaya Mfanyabiashara wa Kariakoo Sherry amefariki kwa kupigwa Risasi
Huyu kafariki kwenye bodaboda alipoona machafuko akafunga duka lake asepe alipanda boda na dada ake🥹🥹🥹amefia mikononi mwa dada ake kwny boda
Ni kheri uone mwili wa mpendwa wako ama lah upewe taarifa kua hayupo tena, kuliko kutojua nini kinaendelea.Sitegemei good news maana kuna habari wengi waliokamatwa na police waliishia kuuliwa kwa kupigwa risasi
Huu ni uonevu wa kupita kiasi, amekosa nini? Hakuna cha kusema stray bullets, hao kama ni police inaonekana hawajui sheria za kubeba silaha.........Huwezi kulenga bunduki wakati hujui target ipo wapi. Tumepoteza makumi elfu ya watu wetu. Hakika tutalipa kisasi, kama ni kufa tufe wote.Sherry umetangulia mbele licha ya umri wako mdogo na maisha yenye mwanga mbele yako. Tutapigana kwa haki hadi mwisho wetu, la sivyo tusipopigana, tutakuwa tunachukuliwa kama kuku na kuuawa na kuchomwa moto kwenye matanuri ya cement.Itazame hii pisi jamani imepigwa risasi na hii mijitu isiyo na huruma kabisa!
Pumzika kwa amani damu yako na za watanzania wengine zitaungana kulipa dhuluma ya uhai huu kwa magaidi ya nchi hii!
Kutoka kwenye Page ya IG ya Twaha Mwaipaya Mfanyabiashara wa Kariakoo Sherry amefariki kwa kupigwa Risasi
Huyu kafariki kwenye bodaboda alipoona machafuko akafunga duka lake asepe alipanda boda na dada ake🥹🥹🥹amefia mikononi mwa dada ake kwny boda